DAS LION
Jalada la Mamaa

Mamaa

143 mionekano
KENYAN HIPHOPEnglish/Swahili2026
PRODUSA Ochiz Records
IMEANDIKWA NA Brian Ochieng

KUHUSU WIMBO HUU

"Mamaa" is a Hiphop/rnb with old school coastal rap and RNB vibes ,it's a love story and easy for listeners to relate with.

[Chorus] Kama unataka basi sema Nitatenda mama (nitatenda mama) Kama unaleta basi leta Nitaweka mama (nitaweka mama) Bandika bandua kata mama Kanaweza kanacheza kakitaka penzi nitabembeleza mama Bandika bandua kata mama Kanaweza kanacheza kakitaka penzi nitabembeleza mama Kama unataka basi sema Nitatenda mama (nitatenda mama) Kama unaleta basi leta Nitaweka mama (nitaweka mama) Bandika bandua kata mama Kanaweza kanacheza kakitaka penzi nitabembeleza mama Bandika bandua kata mama Kanaweza kanacheza kakitaka penzi nitabembeleza mama [Verse 1] Yes I run it up yes I stack it up down but am standing up 10 toes by my side that's why I treat you right Dark days never last ,splash a hunnid for the bag When you drop it bring it back let me run it quarter back U can pull up we got time, roll the weed puff it up I see twinkles in the sky how I wonder wat u are Am the realest never cap, talking levels switch it up Say my name one more time Das Lion, where U at 44 is where am at we can kick it if U want Say my name one more time Das Lion, where U at 44 is where am at we can kick it if U want We can kick it if U want [Chorus] Kama unataka basi sema Nitatenda mama (nitatenda mama) Kama unaleta basi leta Nitaweka mama (nitaweka mama) Bandika bandua kata mama Kanaweza kanacheza kakitaka penzi nitabembeleza mama Bandika bandua kata mama Kanaweza kanacheza kakitaka penzi nitabembeleza mama Kama unataka basi sema Nitatenda mama (nitatenda mama) Kama unaleta basi leta Nitaweka mama (nitaweka mama) Bandika bandua kata mama Kanaweza kanacheza kakitaka penzi nitabembeleza mama Bandika bandua kata mama Kanaweza kanacheza kakitaka penzi nitabembeleza mama [Outro] Kakitaka penzi nitabembeleza (nitabembeleza) Kakitaka penzi nitabembeleza (nitabembeleza) Kakitaka penzi nitabembeleza

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Das Lion
Das LionMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.