
[Intro]
So fresh is on the beat
(Oh, mmh)
Oh
What a waste
Oh, Lord
The Storyteller, ayy
[Verse 1: Nviiri]
What a waste
Baby tumejiseti, we on the highway
Tukafunga breki, tukaanza bishana
Asking, "Who is Diana? Vipi mnajuana?"
I swear tumeji-betray, baby tumejiseti
Cause love isn't here right now
I guess we'll never know (Never know)
Mahali hii story ingeenda
[Pre-Chorus: Nviiri]
Tulichoanza, Kuja tumalize
Kinachokwaza, Baby, ziandike
Punguza drama, Baby, zitushike
Washa kishada
[Chorus: Bien]
I don't wanna argue, ka uko sawa, mi niko sawa
Ka uko sawa, mi niko sawa
Aki zile vitu tulipanga
Ukanishukisha number
Najua una-miss hii kitanda
Vile visa na visanga
Aki zile vitu tulifanya
Kabla ubadilishe number
[Verse 2: Bien]
Bado we husemanga mi ni psycho
Bado mi hupiganga simu yako
Nilideletе-ingi namba yako
Lakini naikumbukanga kwa moyo, yo
And I just can't explain
Thoughts of you and me keep going up and down in my brain
And you werе looking for some love, didn't care for the fame
I was looking for a good time, playing the game, yeah, ah
And now you stuck on my lane
Moving in together, baby, it was never the same
Oh, it's such a shame, kila saa tunagombana
Lini tutaelewana? Yeah
[Pre-Chorus: Nviiri]
Tulichoanza, Kuja tumalize
Kinachokwaza, Baby, ziandike
Punguza drama, Baby, zitushike
Washa kishada
[Chorus: Bien]
I don't wanna argue, ka uko sawa, mi niko sawa
Ka uko sawa, niko sawa
Aki zile vitu tulipanga
Ukanishukisha number
Najua una-miss hii kitanda
Vile visa na visanga
Aki zile vitu tulifanya
Kabla ubadilishe number
[Outro: Bien]
I don't wanna argue, ka uko sawa, mi niko sawa
Ka uko sawa, niko sawa
Aki zile vitu tulipanga
Ukanishukisha number
Najua una-miss hii kitanda
Vile visa na visanga
Aki zile vitu tulifanya
Kabla ubadilishe number
Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.
Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.
Endelea kusoma
SHIRIKI
WACHANGIAJI
Mjadala
Ingia to join the discussion.