BURUKLYN BOYZ
Dream Ya Kutoka Kwa Block artwork

Dream Ya Kutoka Kwa Block

East Mpaka LondonKENYAN DRILLSheng, Swahili, English· 2022· 29 views
PROD. BY MasonXbeats
[Intro] Mason Tano nane Uh, yoh [Chorus: Ajay] Tulikam na dream ya kutoka kwa block (Block) Yaani to get rich (Rich) Tuomoke in short (In short) Nikilala mi huacha maisha yangu Kwa mikono ya God Nadai mkumbuke when am gone Mwendelee kuplay our songs Ajay na M. Right duo strong Tulikam na dream ya kutoka kwa block (Block) Yaani to get rich (Rich) Tuomoke in short (In short) Nikilala mi huacha maisha yangu Kwa mikono ya God Nadai mkumbuke when am gone Mwendelee kuplay our songs Ajay na M. Right duo strong [Verse 1: Ajay] Si Arsenali but watch nikipull up na ki rifle Society inadhani tunafumble (Fumble) Ati wao wanacheki kwa mneti kama ma idol Wanatupenda ju tunaenda viral (Yoh) Nilikuwa kwa mood mbaya Nikaseti kishash nikakuwa ital Kwa ground mambo ni nare (Nare) Maboy wanafaa wareform (Reform) Lakini watareform aje Na washajua ganji, itoka na ndom Niko safe niko fiti hizi zone Huwezi nishow venye we ni mwrong Kama anaita mbogi am sure niko na watu strong Hizi streets zinataka ukuwe mpole man yoh ama utapangwa Mrеsh wako asicheke na mgoon Huku East ama atamangwa Perеka huko ukidhani ntajali, hautalambwa (Yoh) Mkono zimetighten, msee atanitry, Ataganda (For real, for real) [Chorus: Ajay] Tulikam na dream ya kutoka kwa block (Block) Yaani to get rich (Rich) Tuomoke in short (In short) Nikilala mi huacha maisha yangu Kwa mikono ya God Nadai mkumbuke when am gone Mwendelee kuplay our songs Ajay na M. Right duo strong Tulikam na dream ya kutoka kwa block (Block) Yaani to get rich (Rich) Tuomoke in short (In short) Nikilala mi huacha maisha yangu Kwa mikono ya God Nadai mkumbuke when am gone Mwendelee kuplay our songs Ajay na M. Right duo strong [Verse 2: Mr Right] Kwa street mi hukuwanga champ na Mi nadai hizo ma trophy Na ka unani owe ma ganji man Mi nadai ikiwa na profit That’s why mi hukuwa kwa office Men in Black tumerock makoti Lately mi' hutrace manoti Maisha yangu naachia Sir Godi Uh, flow ni ya kimaajabu na Hii beat ni choppy B-Boyz si huset matrend na Si huset masubject Na nimekam nimerock ma blue fam Chini ni red carpet Mafan wana appreciate talent hadi day Watablow hio trumpet Shash iko joh kwa chalice mi najikill close hio curtain Na mi sidai ma opps wajue vile nlidraw hio pattern Huku daily si hu run ma opps na Unaezadhani ni circus Buruklyn Boyz si huleta fracas Kama ni drill close hio chapter (Chapter, chapter, chapter) [Chorus: Ajay] Tulikam na dream ya kutoka kwa block (Block) Yaani to get rich (Rich) Tuomoke in short (In short) Nikilala mi huacha maisha yangu Kwa mikono ya God Nadai mkumbuke when am gone Mwendelee kuplay our songs Ajay na M. Right duo strong Tulikam na dream ya kutoka kwa block (Block) Yaani to get rich (Rich) Tuomoke in short (In short) Nikilala mi huacha maisha yangu Kwa mikono ya God Nadai mkumbuke when am gone Mwendelee kuplay our songs Ajay na M. Right duo strong

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE

CONTRIBUTORS

Onslaught Wawesh
Onslaught WaweshAdded lyrics · Annotator

Discussion

Sign in to join the discussion.