ELANI
Hapo Zamani artwork

Hapo Zamani

20 views
Barua Ya DuniaKENYAN R&BSwahili
PROD. BY Eric Musyoka
[Verse 1: Wambizy] Rauka jamaa, kumekucha Miaka kumi na sita, kidato cha kwanza Pokea salam, siku mpya Insyder za kwanza, zasifiwa boma Kaipokea tetesi, mwaja shuleni wikendi Barua uliyoituma nimeshasoma na Sijaweza kupumua, moyo wangu waridhika Sijaweza kupumua [Hook] Hapo zamani nikajua ningekuoa Hapo zamani ukiambiwa Unapendwa, waamini Ukipendwa, una imani [Verse 2: Maureen] Nilikuwaza sana michana kutwa Wewe sukuma mimi ugali wishwa Na tulipendana kinyama Nikaipokea tetesi, kuna mwingine Akula mishikaki, aishiye kifahari Mi sikuweza kupumua, moyo wangu kavunjika Sikuweza kupumua [Hook] Hapo zamani nikajua ningekuoa Hapo zamani ukiambiwa Unapendwa, waamini Ukipendwa, una imani [Verse 3: Brian Chweya] Sikujua, miaka kumi na sita Siyo miaka, ya kuelewa dunia Sikujua, miaka kumi na sita Siyo miaka, ya kuelewa mahaba Moyoooo Moyoooo [Hook] Hapo zamani nikajua ningekuoa Hapo zamani ukiambiwa Unapendwa, waamini Ukipendwa, una imani

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.

Keep reading

SHARE

CONTRIBUTORS

Onslaught
OnslaughtAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.