OKELLO MAX
Ah nakufa
Mtoto ya Pamela, sudah (sudah)
Na papa, Amlyoto
Maa Sheri
[Verse 1: Okello Max]
Sheri kimula mimi nakufa
Ani nya jomoko mami itoyo fuondena
Ahero sana pilirundo ga wiya
Nyathi jomoko adieri ilalo ga pacha
To dong adengo ti kaayudo konyruok na
Ani weauru monda asunge jabatha
Opong’ to muol atoti unanimalisa
Niisi na wewe milele mpaka kufa
Unisalie watoto mama
Nakuahidi hutokosa
Ayie idho gode monda aketie kuon e mesa
Aseko yie in koro ateri moso anyuola
Mamanaaaaa (Muziki santimaaaa muziki bila jasho)
[Chorus]
Sheriiee, mamaaa, baby
Nakufa nakufa nakufa
Nakufa nakufa nakufa
Sheriiee, mamaaa, baby
Nakufa nakufa nakufa
Nakufa nakufa nakufa
[Verse 2: Bensoul]
Mama Sheri
Usiniache nitakufa eeh (uuuutaniua)
Kila unaponipigia simu lazima nitakuja eeh
Ukisema nikuje jioni nitanunua chupa mama(mama)
Tupendane mpaka kufa eeh
Oooh Sheri mapenzi ya leo naogopa
Kwanza warembo wa ngolopa
Wameweka mitego kwenye mabar(ooh lord)
Ila ukinitegе sitakataa
Nitakopa ee, nitalima ee mama
Nitachanga, nitaiba, Oh oh oh oh
Tupendane mpaka kufa eeh
Muziki ya pesa, muziki bila prеsha
[Chorus]
Sherriiee, mamaaa, baby
Nakufa nakufa nakufa
Nakufa nakufa nakufa
Sheriiee, mamaaa, baby
Nakufa nakufa nakufa
Nakufa nakufa nakufa
[Verse 3: Amlyoto]
Baby babe nishaachana na maformu za Ashura babe
Hata Nafula namba yake nimefuta
Naku assure (eeh)
Usiku silali naona sura yako mrembo
Daily natamani kwako ningekuwa visible
Nateswa na rada kila nikikuona na huyu jamaa (huyu jamaa)
Kweli mama unanifaa waniua (Murder! Murder!)
How do I live without you baby?
Nenyauve wanje
Nipeleke Eregi kwa mama
Nimweleze na baba
Girl I need you in my life
Naona wivu when I see you holding hands
Kama mwezi usiku
Baby you know you're the one
[Chorus: Okello Max & Amlyoto]
Sheriiee (Baby you're the one)
Mamaaa (Without you I can die)
Baby (Baby yeah)
Nakufa nakufa nakufa (Baby yeah)
Nakufa nakufa nakufa
Sheriiee (Baby nakuhitaji yeah)
Mamaaa (Without you siwezi yeah)
Baby (I will die yeah)
Nakufa nakufa nakufa (Baby yeeeh yeeeh)
Nakufa nakufa nakufa (Kufa nakufaa)
Sign in and select any words to explain a line.
No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE
CONTRIBUTORS
Discussion
Sign in to join the discussion.
