WANAVOKALI
Rhumba artwork

Rhumba

Wanavokali: The AlbumKENYAN R&BSwahili, English· 5 views
PROD. BY Mutoriah
My love, I want you My love, I need you Every time I see you (Inadi club) Every time I see you (You light it up!) Hey, hey, hey... [Verse 1] Naomba nafasi mi nicheze na we Njoo karibu, usinicheki toka mbali Hatujuani, but tonight you could be my bae Songa nami, hii form imekubali [Pre-chorus] Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana Usiogope nipe macho yako ana kwa ana Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana Usiogope nipe macho yako ana kwa ana [Chorus] Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata Rhumba, achilia pressure Tutacheza hata kama hatuna pesa Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata Rhumba, achilia pressure Hatujui kama tutaonana tena Hey, hey, hey, hey... [Verse 2] Napenda unavyong'aa kama taa Hapa we ndio star You've got me feeling things that I can't explain Tu vitu, Ma vitu I think I'm falling for you just a little [Pre-chorus] Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana Usiogope nipe macho yako ana kwa ana Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana Usiogope nipe macho yako ana kwa ana [Chorus] Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata Rhumba, achilia pressure Tutacheza hata kama hatuna pesa Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata Rhumba, achilia pressure Hatujui kama tutaonana tena Vunja mifupa, kaza mshipi na tuzikwende Tukizunguka, kaende, kaende Teremka, kata kiuno jionyeshe Inuka, Inuka [Chorus] Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata Rhumba, achilia pressure Tutacheza hata kama hatuna pesa Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata Rhumba, achilia pressure Hatujui kama tutaonana tena

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE

CONTRIBUTORS

Onslaught Wawesh
Onslaught WaweshAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.