
Nikimuona
4 mionekano
[Intro]
Nikimuona eeeh, oooh nikimuona eeeh
Nikimuona eeeh, ooh nikimuona ona ona eeh
[Verse 1]
Tumejuana muda mfupi na yeye, wiki moja au mbili sijui
Nilipomuona nilijua ni yeye, sababu mi nafeel tumejuana milele
Shida moja ni kuwa
Nikijipa kwa urahisi,sitapata heshima
If I act like queen, he'll treat me just like a queen
But if I act so cheap then he'll treat me so cheap
[Chorus]
Nikimuona eeeh, waweza dhani mimi ni fala
Nikimuona eeeh, I swear my heart skips a beat
Nikimuona eeeh, waweza dhani mimi ni fala
Nikimuona ona ona ona eeeh
[Verse 2]
Stranger you may say aha, indeed it seems
Nilivyofunzwa na mamangu ni hivi; heshima zangu, hisia zangu ziwe daima akilini
Lakini bado nataka kuwa naye ukweli sifichi
Shida moja, ni kuwa;
Nikijipa kwa urahisi, sitapata heshima
If I act like a queen, he'll treat me just like a queen
But if I act so cheap then he'll treat me so cheap
[Chorus]
Nikimuona eeeh, waweza dhani mimi ni fala
Nikimuona eeeh, I swear my heart skips a beat
Nikimuona eeeh, waweza dhani mimi ni fala
Nikimuona ona ona ona eeeh
[Verse 3]
Unihurumie hurumie my baby ooh my baby ooh
Naomba usinitese, my baby ooh, my baby ooh
Unipeleke kwa mama atatupatia mali, tufunge ooh ndoa la lote
My baby ooh my baby ooh
Unihurumie hurumie my baby ooh my baby ooh
Naomba usinitese, my baby ooh, my baby ooh
Unipeleke kwa mama atatupatia mali, tufunge ooh ndoa la lote
My baby ooh my baby ooh
Ooh nikumuona eeeh, waweza dhani mimi ni fala
Nikimuona onaa onaa eeh
[Outro]
I miss you my baby (kukuona tu)
I need to see you daily (kila siku ya maisha yetu)
I miss you my baby (Nanikuandalie yote ooh)
I need to see you daily (coz your my baby, my baby my baby)
I miss you my baby (Ninakupenda my baby)
I need to see you daily
Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.
Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.
Endelea kusoma
SHIRIKI
WACHANGIAJI
Mjadala
Ingia to join the discussion.