AVRIL
Jalada la Chokoza

Chokoza

akiwa na Marya
5 mionekano
KENYAN POPSheng, Swahili2015
PRODUSA Ogopa DJs Studios
IMEANDIKWA NA Avril
Hey ah Hey ah Marya Avril Hey ah Hey ah [VERSE 1] Hey Marya vipi nakwambia Kuna chali anaangalia Mi na Avril tukaenda msalimia Akatupa shoti za tequilla Huyu chali akaanza kukatia Eti body zetu zavutia Tukapanga vile kumkimbia Tukaenda loo kisha tukadisappear Mi na beshte yangu tumekuja klabu (Kazi yetu si ni kuchokoza) Chali hunipati after hii party (Nimekuja tu kukuchokoza) Mi na beshte yangu tumekuja klabu (Kazi yetu si ni kuchokoza) Chali hunipati after hii party [CHORUS] Tume-tumekuja choko Tumekuja chokoza aha-aha Usidhani umepata nafasi aha-aha-aha Tumekuja chokoza aha-aha Usidhani umepata nafasi [VERSE 2] Ewe chali usione mimi ni chipsi funga we When I smile at you, don’t mean I want to spend the night with you When I dance with you don’t mean I want to get freaky with you (Ati twende nyumbani) We chali hebu wacha ufala we Miniskirti ni urembo tazama lakini songa we Songa mbali don’t you see that you are, bugging me I’ve got my own my job my cash (my job my cash etc) Tafadhali nipe heshima yangu [CHORUS] Tume-tumekuja choko Tumekuja chokoza aha-aha Usidhani umepata nafasi aha-aha-aha Tumekuja chokoza aha-aha Usidhani umepata nafasi Tumekuja chokoza aha-aha Usidhani umepata nafasi aha-aha-aha Tumekuja chokoza aha-aha Usidhani umepata nafasi (fasi fasi) [Outro] Ai Marya mbona machali hubehave hivi Tumeenda club lakini wanaume Jamaa hajui kama napenda machali Ama madame Mi nikiingia nataka beshte Tujuane kwanza bana Mi na beshte yangu tumekuja klabu Kazi yetu si ni kuchokoza Chali hunipati after hii party Nimekuja tu kukuchokoza Mi na beshte yangu tumekuja klabu Kazi yetu si ni kuchokoza Chali hunipati after hii party [CHORUS] Tumekuja chokoza aha-aha Usidhani umepata nafasi aha-aha-aha Tumekuja chokoza aha-aha Usidhani umepata nafasi aha-aha-aha

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Wamuu
WamuuMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.