BENSOUL
Jalada la NaEnjoy

NaEnjoy

akiwa na Watendawili
75 mionekano
Flight 420AFRO-POPSwahili, Sheng2026
PRODUSA Hendrick Sam
IMEANDIKWA NA Benson Mutua, Ywaya Eugine Simon, Edgar Israel Onyach
[Intro] This is Hendrick Sam Oh yeah [Chorus] Binguni hatuwezi fika sisi sote Nikilipwa nasemanga wapewe wote Na enjoy, na enjoy Na enjoy, na enjoy Huwezi elewa nina lewa zinitoke Ukinipata nime lala kwa matope Na enjoy, na enjoy Na enjoy, na enjoy Ooh Mniache ni lale Niamke saa nane Niashe ki Bob Marley Ndio nijitandaze Tangu tuachane Niko kiwanjani Na enjoy, na enjoy Na enjoy, na enjoy [Verse 1: Ywaya Tajiri] Natibu hangover na tumbukiza Nusu pizza Nalipiza Sina shida niko na Suda Alhamdulillai si watoto wameiva Piga shot, piga shot Wacha ichome liver Sijali sana, nonchalant Lazima sherehe, after deal imeivana Sina noma, no wahalla I'm like a nomad, sikai sana [Chorus] Na nikilipwa nasemanga wapewe wote Na enjoy, na enjoy Na enjoy, na enjoy Huwezi elewa nina lewa zinitoke Ukinipata nime lala kwa matope Na enjoy, na enjoy Na enjoy, na enjoy Aii Mniache ni lale Niamke saa nane Niashe ki Bob Marley Ndio nijitandaze Tangu tuachane Niko kiwanjani Na enjoy, na enjoy Na enjoy, na enjoy [Verse 2: Bensoul] Salo imenipata nikiwa kwa bar Ikabidi niongezewe mizinga kadhaa Ilikuwa nitoke wakacheza 'Hadi Kesho' Na iyo doba nikama iko na mapepo Abracadabra Niko na Barbra Warembo wengi, wako in surplus Mkono moja kwa haga, ingine kwa tumbler Chunga sana usilewe ugawe shamba [Verse 3: Onyach Pala] Kuwa famous si easy Watiaji wata ku-judge Ila raha mi si jinyimi And I'm taking every chance Ooh, ukiniona usiulize Wapi nililala jana Wacha moshi tuipulize Juu inapita kama ujana [Chorus] Binguni hatuwezi fika sisi sote Nikilipwa nasemanga wapewe wote Na enjoy, na enjoy Na enjoy, na enjoy Huwezi elewa nina lewa zinitoke Ukinipata nime lala kwa matope Na enjoy, na enjoy Na enjoy, na enjoy Mniache ni lale Niamke saa nane Niashe ki Bob Marley Mwili nitandaze Tangu tuachane Niko kiwanjani Na enjoy, na enjoy Na enjoy, na enjoy

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Sergii
SergiiMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.