
[Intro]
This is Hendrick Sam
Oh yeah
[Chorus]
Binguni hatuwezi fika sisi sote
Nikilipwa nasemanga wapewe wote
Na enjoy, na enjoy
Na enjoy, na enjoy
Huwezi elewa nina lewa zinitoke
Ukinipata nime lala kwa matope
Na enjoy, na enjoy
Na enjoy, na enjoy
Ooh
Mniache ni lale
Niamke saa nane
Niashe ki Bob Marley
Ndio nijitandaze
Tangu tuachane
Niko kiwanjani
Na enjoy, na enjoy
Na enjoy, na enjoy
[Verse 1: Ywaya Tajiri]
Natibu hangover na tumbukiza
Nusu pizza
Nalipiza
Sina shida niko na Suda
Alhamdulillai si watoto wameiva
Piga shot, piga shot
Wacha ichome liver
Sijali sana, nonchalant
Lazima sherehe, after deal imeivana
Sina noma, no wahalla
I'm like a nomad, sikai sana
[Chorus]
Na nikilipwa nasemanga wapewe wote
Na enjoy, na enjoy
Na enjoy, na enjoy
Huwezi elewa nina lewa zinitoke
Ukinipata nime lala kwa matope
Na enjoy, na enjoy
Na enjoy, na enjoy
Aii
Mniache ni lale
Niamke saa nane
Niashe ki Bob Marley
Ndio nijitandaze
Tangu tuachane
Niko kiwanjani
Na enjoy, na enjoy
Na enjoy, na enjoy
[Verse 2: Bensoul]
Salo imenipata nikiwa kwa bar
Ikabidi niongezewe mizinga kadhaa
Ilikuwa nitoke wakacheza 'Hadi Kesho'
Na iyo doba nikama iko na mapepo
Abracadabra
Niko na Barbra
Warembo wengi, wako in surplus
Mkono moja kwa haga, ingine kwa tumbler
Chunga sana usilewe ugawe shamba
[Verse 3: Onyach Pala]
Kuwa famous si easy
Watiaji wata ku-judge
Ila raha mi si jinyimi
And I'm taking every chance
Ooh, ukiniona usiulize
Wapi nililala jana
Wacha moshi tuipulize
Juu inapita kama ujana
[Chorus]
Binguni hatuwezi fika sisi sote
Nikilipwa nasemanga wapewe wote
Na enjoy, na enjoy
Na enjoy, na enjoy
Huwezi elewa nina lewa zinitoke
Ukinipata nime lala kwa matope
Na enjoy, na enjoy
Na enjoy, na enjoy
Mniache ni lale
Niamke saa nane
Niashe ki Bob Marley
Mwili nitandaze
Tangu tuachane
Niko kiwanjani
Na enjoy, na enjoy
Na enjoy, na enjoy
Sign in and select any words to explain a line.
No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
Keep reading
SHARE
CONTRIBUTORS
Discussion
Sign in to join the discussion.