
[Intro]
Kaumbete eh, anavunja kitanda ya chuma
Kaumbete, ipo siku
Kaumbete eh, anavunja kitanda ya chuma
[Verse 1: Bien]
Kaumbete na ndoto za kuhama ghetto aende ulaya
Analia Kondele Kisumu economy ni mbaya
Single mother, she under pressure situation dire
She gat’s to do what she gat’s to do
Kaumbete haoni haya (serikali saidia)
So anadai Gucci (saidia)
Anadai kumuona uchi Kaumbete
And you know it’s a movie
Ndio maana nashindanga nimerudi, Kaumbete
Kogalo yudoingwe kogalo nineingwe
Ni Mashemeji derby
[Chorus]
Kaumbete mutoto mubaya anavunja kitanda ya chuma
(Kaumbete eh eh, anavunja kitanda ya chuma)
Kaumbete mutoto mubaya anavunja kitanda ya chuma
(Kaumbete eh eh, anavunja kitanda ya chuma)
[Verse 2: Coster Ojwang]
Show your money..
Sama idwaro nyathi ma odhi sikul manimba
Bei Kali
Kaumbete adwa ni mondo ateri Kisumo
Dilly dally, Musa Olwete chendo owinjo ochwade gi nyundo
Seremala, mal amal malipo ni mauti gi nengo
Ojweezy wuod Aeli oling e thum gi Alusa ma miluhya
To Muzi wananjero omuro bul jodongo koro nyiero
Ojweezy wuod aeli oling e ngoma gi Alusa ma kipara
To Muzi wa Nanjero omuro bull jodongo koro nyiero
[Chorus]
Kaumbete mutoto mubaya anavunja kitanda ya chuma
(Kaumbete eh eh, anavunja kitanda ya chuma)
Kaumbete mutoto mubaya anavunja kitanda ya chuma
(Kaumbete eh eh, anavunja kitanda ya chuma)
[Outro]
Obonyo sangatete jal ma onyuomo dhako matar
Mamondo menyo ot oparo ni chieng omondo tuch
Bien mano miel mane yawa
Iko iko iko
Hii muungano ya wajaluo na waluhya shida
Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.
Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.
Endelea kusoma
SHIRIKI
WACHANGIAJI
Mjadala
Ingia to join the discussion.