CHRIS KAIGA
Jalada la Zimenice

Zimenice

akiwa na Tezzla
9 mionekano
GENGETONESwahili, Sheng, English
PRODUSA Manch!ld
[Intro] (Eh, eh) (Eh, eh, eh) (Eh, eh, eh) (Eh, eh, eh) (Eh) [Verse 1: Chris Kaiga] Sikosi Uradi nipate nimechill na kabinti Form ni mingi hadi anashangaa na sisi Kila siku ya wiki, get tipsy Na nikiget doh nablow it all on the Whisky.. Jack D, Jamey now blame it on the Henny We started out slow nilikuwa aje mlevi? Ish too crazy kukumbuka siwezi Nilijiget home juu ya bed nimebleki [Prechorus: Chris Kaiga] Si masoo, ni mangiri (Zimenice) Dem mmoja, wawili (Zimenice) Na ma Tusker, ma Pile (Zimenice) Mara ya kwanza, ya pili (Zimenice) Si masoo, ni mangiri (Zimenice) Dem mmoja, wawili (Zimenice) Na ma Tusker, ma Pile (Zimenice) Mara ya kwanza, ya pili (Zimenice) [Chorus: Chris Kaiga] Zimenice, zangu zimenice (Zimenice) Zimenice, zangu zimenice (Zimenice) Zimenice, zangu zimenice (Zimenice) Zimenice, zangu zimenice (Zimenice) [Verse 2: Tezzla] Nipe beat, nipe mic, karatasi, kalamu Huu mziki ndio kazi naofanya kwa hamu Juu nateka mali kama Boko Haram Na ikijipa, basi nitawaandalia karamu Bash mara that-that, tunakuja chap-chap Tunakuja na gode, tei mpaka tap-tap Ati? Shawty wants to take a snap Ashatoa top, ashanikalia lap [Prechorus: Chris Kaiga] Si masoo, ni mangiri (Zimenice) Dem mmoja, wawili (Zimenice) Na ma Tusker, ma Pile (Zimenice) Mara ya kwanza, ya pili (Zimenice) Si masoo, ni mangiri (Zimenice) Dem mmoja, wawili (Zimenice) Na ma Tusker, ma Pile (Zimenice) Mara ya kwanza, ya pili (Zimenice) [Chorus: Chris Kaiga] Zimenice, zangu zimenice (Zimenice) Zimenice, zangu zimenice (Zimenice) Zimenice, zangu zimenice (Zimenice) Zimenice, zangu zimenice (Zimenice) [Verse 3: Chris Kaiga] Mi, nimechill inadi back Juu watu huko mbele wako maji kama tap Na kesho niko works But venye zimenice, itabidi nime flash mdosi Aki call back, aki ya nani, siokoti Niko kando ya woofer na kelele ya mbogi Kama ni ngori, basi kesi baadae Woah, niko cloud nine, eh, wasee, niko high [[Prechorus: Chris Kaiga] Si masoo, ni mangiri (Zimenice) Dem mmoja, wawili (Zimenice) Na ma Tusker, ma Pile (Zimenice) Mara ya kwanza, ya pili (Zimenice) Si masoo, ni mangiri (Zimenice) Dem mmoja, wawili (Zimenice) Na ma Tusker, ma Pile (Zimenice) Mara ya kwanza, ya pili (Zimenice) [Chorus: Chris Kaiga] Zimenice, zangu zimenice (Zimenice) Zimenice, zangu zimenice (Zimenice) Zimenice, zangu zimenice (Zimenice) Zimenice, zangu zimenice (Zimenice) [Outro] (Eh, eh) (Eh, eh, eh) (Eh, eh)

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Onslaught
OnslaughtMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.