KAPITANI
Jalada la More

More

161 mionekano
AFRO-POPSwahili, English, Sheng2026
Yeah yoh yoh Yeeiy yeah (We global music) Yeeiy yeah Ina record, Ina record kweli? Yeah, yoh, yoh [Chorus] Cheki, I wanna know you more I wanna know you more Kuna venye umenibamba I wanna know you more Vako zako madoido usiwapunguzie maringo [Verse 1] Baby mimi nakupenda venye uko Cheki venye umenifanyia Marriage-i ya wengine bandia Wanataka kukua wewe Wanadhani tutaachana na wewe Fuck everybody we can be ourselves Ngori zingine niachie nikubebee Hebu guess nimekuletea nini kabla tuendelee We ni mpoa wa nani? Mwacheni ajisemee I'm intentional about you As long as you got me I got you Nafikiria kukupa the keys to my heart We niambie if I'm moving too fast [Chorus] I wanna know you more I wanna know you more Kuna venye umenibamba I wanna know you more Vako zako madoido usiwapunguzie maringo Baby mimi nakupenda venye uko I wanna know you more I wanna know you more Kuna venye umenibamba I wanna know you more Vako zako madoido usiwapunguzie maringo BBL ya nini na nazipenda venye ziko [Verse 2] When I'm stressed and confused I can always call you Uko wapi baby boo? Kuja udo vile wewe hudo I'm addicted to you, I'm addicted to you I'm falling, I'm falling, I'm falling I'm falling, I'm falling for you Siwezi mind kukuwa mtu wako Ntakupenda hadi na mtoto wako I wanna know you more Ukuwe unakula hii dooh Angalau once in a while unakula ice cream Carrefour Ni lini ulipata hiyo ball? Umenimalo joh Ukiendelea hivi utanigeuza chizi ka Dosh [Refrain] I wanna know you more I wanna know you more I wanna know you more I wanna know you more I wanna know you more I wanna know you more I wanna know you more [Chorus] Cheki, I wanna know you more I wanna know you more Kuna venye umenibamba I wanna know you more Vako zako madoido usiwapunguzie maringo Baby mimi nakupenda venye uko [Outro] I wanna know you more I wanna know you more Kuna venye umenibamba I wanna know you more Vako zako ma haha

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Sergii
SergiiMchangiaji
Blessing Gakii
Blessing GakiiMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.