KAPITANI
Jalada la Control

Control

39 mionekano
KENYAN HIPHOPSheng, Swahili2025
PRODUSA Emudio, Beat Kidd
(E-side) Yoh Ina record kweli? Stevie [Verse 1] Hapa huwezi control Hizi ends hadi sanse hapatrol Huku hakuna vako za ngware ku-jog Nimeyoyoma hata sishikanishi joke Eastside 1960 Watatoroka tukiwapea matiti Iko ndani ya tyre niwashe kiberiti Type gani ya kufuli hatuchapanishi? We nitry uone mkidry Niko riko so akili nimefry Why should I lie napenda madem washy Utapatch aje ndio wakudate wakusurvive Nimetoka kanisa kutubu Nakutana na morio anasema nikatiwe kanusu Kawaida story mingi na masaa haituruhusu Ananishikia jaba nijisimamie oris na njugu Tuushuka na fala kama tunatoka uradi ya maana Rende ni ya mapanga Brikicho na mabang'a Tunakuiza tukikujiwa morio wako aeke lawama Si mapenzi yangu kuiba but asset ikicheka ntafanya [Chorus] Kabla kuiwasha hedi naibarikisha Si ndio wazee unaita kuchinja Nakuzima na ukitaka nakupea rima Atakuamini aje si umuitishe sai picha Ni ma-iko iko tunakuzama mbosho Ng'ondo ni safi tunanyamaza pigwa koto Ananiweza? Labda kwa ndoto Rent ya mtu naiwekelea kwa ngoto Kabla kuiwasha hedi naibarikisha Si ndio wazee unaita kuchinja Nakuzima na ukitaka nakupea rima Atakuamini aje si umuitishe sai picha Ni ma-iko iko tunakuzama mbosho Ng'ondo ni safi utanyamaza pigwa koto Ananiweza? Labda kwa ndoto Rent ya mtu naiwekelea kwa ngoto [Verse 2] Ondokea hii ni jeshi ya D minus Masanse wanaenjoy kutuhangaisha Mvinyo na ganja hazitawai isha So mbona nijipee pressure na hii maisha? Mi hukatzia mbleina, nawatolea ma-canine Choma gunga daila mali yangu unadenga Bills zikikaribia kuna mtu anaumia Ata bila look bado nilikuwa nawang'aria Wanapenda tukiwahubiria Na izi bling 'twachafulia Ka ni ki-Durban naiwasha na naichimbia Rumours ni ati uko na pesa kwa nyumba tunaikamia Si ni.. watu wa shylock hatujali ata ukilia Nili wa-warn wachana na hawa mavijana Zinatuonyesha kwa kula mastuff zikiwaka I'm a cold motherfucker Na ndo tu naanza Tunanyamba ile sekunde wanajifanya wajanja Ka niko ndakaz wanajua no wahala Ashakuwa shosh manyanga sai ndio ati ananitaka Kanyaga breki hii ni bumper ya Tata Tuko njee masaa ya wizi na malaya We jiulize tunafanya Nishai penda, wanaume wakaninyang'anya We jiulize tunafanya Nishai penda, wanaume wakani-toka [Chorus] Kabla kuiwasha hedi naibarikisha Si ndio wazee unaita kuchinja Nakuzima na ukitaka nakupea rima Atakuamini aje si umuitishe sai picha Ni ma-iko iko tunakuzama mbosho Ng'ondo ni safi tunanyamaza pigwa koto Ananiweza? Labda kwa ndoto Rent ya mtu naiwekelea kwa ngoto Kabla kuiwasha hedi naibarikisha Si ndio wazee unaita kuchinja Nakuzima na ukitaka nakupea rima Atakuamini aje si umuitishe sai picha Ni ma-iko iko tunakuzama mbosho Ng'ondo ni safi utanyamaza pigwa koto Ananiweza? Labda kwa ndoto Rent ya mtu naiwekelea kwa ngoto

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Onslaught
OnslaughtMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.