NYASHINSKI
Jalada la Busy

Busy

2 mionekano
To Whom It May ConcernAFRO-POPSwahili, English, Sheng2024
PRODUSA Ogopa Djs
IMEANDIKWA NA Nyamari Ongegu
[Intro] Naziletanga vile unataka nizibring [Verse 1] Ni mi Damp, governor wa Shin city While you've been gossiping I've been busy Net worth iko high ka sauti ya Kindiki Ma show ziko packed huezi susu no Diddy Wanasue haina issue no biggie Big shoes toto kuzi-fill sio easy I made millionaires, wakakuwa greedy Wana njaa excess wameshindwa kuistiri Kama stripper, au mafisi Industry mzima hutry kumove kama sisi Ona tukimuok wanaingiza baridi Silver kwa wingi, Shin ni Wanjigi Wamejaribu kuharibu jina imekataa Nawashinda na akili na chapaa Choka na story zao za kijinga Kuja mahali kuna ma-brown ka kabinga [Chorus] Naziletanga vile unataka nizibring (Never lie) Niko busy nakugidi what you want Wako itchy wanatry kuingia kwa mix (Never lie) Busy nakugidi what you want Niko busy, number zote busy Busy sana busy Busy nakugidi what you want Niko busy, siku zote busy [Verse 2] Touch down, naingia nawin na-go missing Top tier my dear, my millions I'm eating Nashiba mpaka mnajiita ma-meeting Nikiitwa beat inapatanga beating Ni slaps, mi nko na drink huoni glass Mr Macheez mon nasip joh ni black Si ati ni jokes au naringa ni facts Kwangu ile gross wanalipwa ni tax I've been putting in work Nimekuwa famous for years na ina perks Mayoung'in waligrow wakiniskia wanarap Hakuna kitu unaeza niambia naget busy [Chorus] Naziletanga vile unataka nizibring (Never lie) Niko busy nakugidi what you want Wako itchy wanataka kuingia kwa mix (Never lie) Busy nakugidi what you want Niko busy, number zote busy Busy sana busy Busy nakugidi what you want Niko busy, siku zote busy [Outro] Naziletanga vile unataka nizibring Nakugidi what you want Wako itchy wanatry kuingia kwa mix (Never lie) Gidi What you want Niko busy, busy, busy Never lie Busy, busy, busy

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Onslaught
OnslaughtMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.