ONLYMOH
Jalada la Upset

Upset

11 mionekano
More Money More ProblemsKENYAN HIPHOPSheng, Swahili2026
PRODUSA VlmightySos
[Chorus] We jua kabla sun iset Lazima niingie mtaa na cheque (na cheque) Kazi yao ni kulia upset (kulia lia) Wakiona umezidi wanaanza kuhate (watombwe) Sikutambui si ku-rate Decisions nili choose zinafanya ni regret (ni regret) Maziwa napea respect (heshima) Fake friend call zake reject (kata tenje) Vitu na do huwezi jaribu (hauwezi) Accused, na ku-chai bila sababu (walai) Kuna madawa siezi jaribu Lean kwa hiyo cup, ongeza barafu Nikiwa na gang usi try ku-nijaribu Nimetoka far si karibu Tegea mali haiko karibu Msupa wangu sweet, zabibu [Verse] Wanaboeka ukishine, ukiwa china wana smile (wata smile) Nafungua mind kabla nianze ku-grind Naamini itajipa (walai) Journey yangu ni sir Jah ana guide (ni sir Jah ana guide) Kuna mabro niki kumbuka mi na cry Mbona uliniwacha, I wish ungekuwa hai (walai) Ni sawa, mpango ya Jah hatukatai Ndio nitulize mawazo mi lazima ni jifry Ni mambang'a pekee washaifanya mi ni hide Na grind hii design ndio mokoro joh a-smile Nadai nimsmamishie ng'ondo na ndai Nilikuwa nafanya alie, sai nadai afurahi Ati rap or roads? Bado mi sija decide Ni mapussy wanacopy kila style Hawana idea kazi yao ni ku-chai Ka hunilipi na ku-buy (na ku-buy) Nadai kujaa jaa kitu nataka ni buy (maziwa) Ka ni long mil kuja sai sai Madem kwa dm wamenijazia ma Hi! (hello) Natulia na mafegi sikatai Zimeshika ka spark niko high Siezi kiss and tell, ukinipee mi nita hide Kawasaki design ana ride Ati open centre, hapana kitu tight Mbele iko sawa Mi naaminia 2Pac all eyes on me, ni mi wanaangalia Macharji roho juu, bro anaku kufear Ka we ni bad man, unaeza kalia Njia nimepitia ukipita utalia (I swear) Siezi acha kusaka hadi nifike ka mia Nakumbuka nikiwa stu', hadi floor nili lalia Si wote ma-real, niko rada ya bandia Sijai fanya kitu ku-prove Mi siezi shindana, instead na improve Huwezi fanya vitu mi na do (hauwezi) Walidhani nime riate sai nachezwa hadi majuu (mafala) Never give up usiwai kufa roho (usiwai) Mary Jane pekee nakulanga raw Siezi sahau penye nimegrow Niki sota na-feel niko low [Chorus] We jua kabla sun iset Lazima niingie mtaa na cheque (na cheque) Kazi yao ni kulia upset (kulia lia) Wakiona umezidi wanaanza kuhate (watombwe) Sikutambui si ku-rate Decisions nili choose zinafanya ni regret (ni regret) Maziwa napea respect (heshima) Fake friend call zake reject (kata tenje) Vitu na do huwezi jaribu (hauwezi) Accused, na ku-chai bila sababu Kuna madawa siezi jaribu Lean kwa hiyo cup, ongeza barafu Nikiwa na gang usi try ku-nijaribu Nimetoka far si karibu Tegea mali, haiko karibu Msupa wangu sweet, zabibu

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Sergii
SergiiMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.