
Upset
6 views
[Chorus]
We jua kabla sun iset
Lazima niingie mtaa na cheque (na cheque)
Kazi yao ni kulia upset (kulia lia)
Wakiona umezidi wanaanza kuhate (watombwe)
Sikutambui si ku-rate
Decisions nili choose zinafanya ni regret (ni regret)
Maziwa napea respect (heshima)
Fake friend call zake reject (kata tenje)
Vitu na do huwezi jaribu (hauwezi)
Accused, na ku-chai bila sababu (walai)
Kuna madawa siezi jaribu
Lean kwa hiyo cup, ongeza barafu
Nikiwa na gang usi try ku-nijaribu
Nimetoka far si karibu
Tegea mali haiko karibu
Msupa wangu sweet, zabibu
[Verse]
Wanaboeka ukishine, ukiwa china wana smile (wata smile)
Nafungua mind kabla nianze ku-grind
Naamini itajipa (walai)
Journey yangu ni sir Jah ana guide (ni sir Jah ana guide)
Kuna mabro niki kumbuka mi na cry
Mbona uliniwacha, I wish ungekuwa hai (walai)
Ni sawa, mpango ya Jah hatukatai
Ndio nitulize mawazo mi lazima ni jifry
Ni mambang'a pekee washaifanya mi ni hide
Na grind hii design ndio mokoro joh a-smile
Nadai nimsmamishie ng'ondo na ndai
Nilikuwa nafanya alie, sai nadai afurahi
Ati rap or roads? Bado mi sija decide
Ni mapussy wanacopy kila style
Hawana idea kazi yao ni ku-chai
Ka hunilipi na ku-buy (na ku-buy)
Nadai kujaa jaa kitu nataka ni buy (maziwa)
Ka ni long mil kuja sai sai
Madem kwa dm wamenijazia ma Hi! (hello)
Natulia na mafegi sikatai
Zimeshika ka spark niko high
Siezi kiss and tell, ukinipee mi nita hide
Kawasaki design ana ride
Ati open centre, hapana kitu tight
Mbele iko sawa
Mi naaminia
2Pac all eyes on me, ni mi wanaangalia
Macharji roho juu, bro anaku kufear
Ka we ni bad man, unaeza kalia
Njia nimepitia ukipita utalia (I swear)
Siezi acha kusaka hadi nifike ka mia
Nakumbuka nikiwa stu', hadi floor nili lalia
Si wote ma-real, niko rada ya bandia
Sijai fanya kitu ku-prove
Mi siezi shindana, instead na improve
Huwezi fanya vitu mi na do (hauwezi)
Walidhani nime riate sai nachezwa hadi majuu (mafala)
Never give up usiwai kufa roho (usiwai)
Mary Jane pekee nakulanga raw
Siezi sahau penye nimegrow
Niki sota na-feel niko low
[Chorus]
We jua kabla sun iset
Lazima niingie mtaa na cheque (na cheque)
Kazi yao ni kulia upset (kulia lia)
Wakiona umezidi wanaanza kuhate (watombwe)
Sikutambui si ku-rate
Decisions nili choose zinafanya ni regret (ni regret)
Maziwa napea respect (heshima)
Fake friend call zake reject (kata tenje)
Vitu na do huwezi jaribu (hauwezi)
Accused, na ku-chai bila sababu
Kuna madawa siezi jaribu
Lean kwa hiyo cup, ongeza barafu
Nikiwa na gang usi try ku-nijaribu
Nimetoka far si karibu
Tegea mali, haiko karibu
Msupa wangu sweet, zabibu
Sign in and select any words to explain a line.
No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
Keep reading
SHARE
CONTRIBUTORS
Discussion
Sign in to join the discussion.