
Najuta
9 mionekano
pre-chorus
Nitamwambiaje eti kua miye nampeza
Nitamwelezaje eti bila yeye naugua
Nitamjulishaje kuwa roho yangu yaumia
Nitamwambiaje eeh kuwa mimiye najuta
Kukosana naye, kutengana naye
Kuachana naye (oooh) mimi najuta
Kukosana naye, kutengana naye
Kuachana naye oooh mimi najuta
[Verse 1]
Nilitega sikio mtaani
Nikasikiza zao wasengenyaji
Eti yeye na yule wana uchumbaji
Bila hata kujali au kuuliza maswali
Niliya amini maneno nikamu aga kwaheri
Miezi ni kadhaa (aaah aaaaah)
Nami nalia (aaah aaaaah)
Ningemrudia (aaah aaaaah)
Lakini nina tatizo. (Ooooh)
[Chorus]
Nitamwambiaje kuwa miye nampeza
Nitamwelezaje eti bila yeye naugua
Nitamjulishaje kuwa roho yangu yaumia
Nitamwambiaje eeh kuwa mimiye najuta
Kukosana naye, kutengana naye
Kuachana naye oooh, mimi najuta
Kukosana naye, kutengana naye
Kuachana naye oooh, mimi najuta
[Verse 2]
Nilifunga virago vyangu vyote
Kuwa humo sitorudi kamwe
Kwani yeye na yule walinifadhaisha
Lakini kila wasaa, napata nikimwaza
Ningeyapuuza maneno tungeishi kwa raha
Miezi ni kadhaa (aaah aaaaah)
Nami nalia (aaah aaaaah)
Ningemrudia (aaah aaaaah)
Lakini nina tatizo (ooooh)
[Chorus]
Nitamwelezaje eti kuwa miye nampeza
Nitamwelezaje eti bila yeye naugua
Nitamjulishaje kuwa roho yangu yaumia
Nitamwambiaje eeh kuwa mimiye najuta
Kukosana naye, kutengana naye
Kuachana naye oooh, mimi najuta
Kukosana naye, kutengana naye
Kuachana naye oooh, mimi najuta
[Bridge]
Ninaye anipendaye, na anifaaye
Lakini ata afanyaje, halingani nawe
Naomba msamaha kwa kukukosea
Wengi watasema, usiku watalala
[Chorus]
Nitamwambiaje eti kuwa miye nampeza
Nitamwelezaje eti kuwa bila yeye naugua
Nitamjulishaje kuwa roho yangu yaumia
Nitamwambia aje eeeh, kuwa mimiye najuta
Kukosana naye, kutengana naye
Kuachana naye oooh, mimi najuta
Kukosana naye, kutengana naye
Kuachana naye oooh, mimi najuta
Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.
Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.
Endelea kusoma
SHIRIKI
WACHANGIAJI
Mjadala
Ingia to join the discussion.