Najuta artwork

Najuta

4 views
KENYAN R&BSwahili2009
PROD. BY Beat Ya Clemo
pre-chorus Nitamwambiaje eti kua miye nampeza Nitamwelezaje eti bila yeye naugua Nitamjulishaje kuwa roho yangu yaumia Nitamwambiaje eeh kuwa mimiye najuta Kukosana naye, kutengana naye Kuachana naye (oooh) mimi najuta Kukosana naye, kutengana naye Kuachana naye oooh mimi najuta [Verse 1] Nilitega sikio mtaani Nikasikiza zao wasengenyaji Eti yeye na yule wana uchumbaji Bila hata kujali au kuuliza maswali Niliya amini maneno nikamu aga kwaheri Miezi ni kadhaa (aaah aaaaah) Nami nalia (aaah aaaaah) Ningemrudia (aaah aaaaah) Lakini nina tatizo. (Ooooh) [Chorus] Nitamwambiaje kuwa miye nampeza Nitamwelezaje eti bila yeye naugua Nitamjulishaje kuwa roho yangu yaumia Nitamwambiaje eeh kuwa mimiye najuta Kukosana naye, kutengana naye Kuachana naye oooh, mimi najuta Kukosana naye, kutengana naye Kuachana naye oooh, mimi najuta [Verse 2] Nilifunga virago vyangu vyote Kuwa humo sitorudi kamwe Kwani yeye na yule walinifadhaisha Lakini kila wasaa, napata nikimwaza Ningeyapuuza maneno tungeishi kwa raha Miezi ni kadhaa (aaah aaaaah) Nami nalia (aaah aaaaah) Ningemrudia (aaah aaaaah) Lakini nina tatizo (ooooh) [Chorus] Nitamwelezaje eti kuwa miye nampeza Nitamwelezaje eti bila yeye naugua Nitamjulishaje kuwa roho yangu yaumia Nitamwambiaje eeh kuwa mimiye najuta Kukosana naye, kutengana naye Kuachana naye oooh, mimi najuta Kukosana naye, kutengana naye Kuachana naye oooh, mimi najuta [Bridge] Ninaye anipendaye, na anifaaye Lakini ata afanyaje, halingani nawe Naomba msamaha kwa kukukosea Wengi watasema, usiku watalala [Chorus] Nitamwambiaje eti kuwa miye nampeza Nitamwelezaje eti kuwa bila yeye naugua Nitamjulishaje kuwa roho yangu yaumia Nitamwambia aje eeeh, kuwa mimiye najuta Kukosana naye, kutengana naye Kuachana naye oooh, mimi najuta Kukosana naye, kutengana naye Kuachana naye oooh, mimi najuta

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.

Keep reading

SHARE

CONTRIBUTORS

Sergii
SergiiAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.