TOXIC LYRIKALI
Jalada la Backbencher

Backbencher

akiwa na Countree Hype
8 mionekano
Fast & Furious Riddim SportsKENYAN HIPHOPSheng, Swahili2025
PRODUSA Countree Hype
IMEANDIKWA NA Denzel Washington

KUHUSU WIMBO HUU

Backbencher is a single by Toxic Lyrikali with Countree Hype, released on 20 June 2025 through Countree Hype Ent. In January 2026 it also opened Countree Hype's compilation Fast & Furious Riddim Sports.

[Verse 1] Venye nawa view angle ni ya side mirror Ka ki lorry nimejibebea majicha Pigwa saniffing bado usipo makinika Usigoe mrass skuma gunga adi rehab Country inipige hype ni trace ma mita Jamdown na ni jipin itoka tisa Number ni moja bado sijai badilisha Labda mtaa ndio ni wangore na class [Chorus] Chuo tuliwai E sai nawazoza na S Class (GLE) Stima ka Tesla Ma goat mi ndio shepherd Chauffeur sidai hii safari najipeleka S Class S Class S Class convoy Convoy ndai inaongoza ni Defender Strangers zii strictly inakuanga members Backbencher ndani ya S Class Backbencher ndani ya S Class [Verse 2] Ndula zero mileage ndai speedometer inachezea 260 Samahani kwa wenye wako kwa njikli Role ki G ka model wananidigi Naeza jitengenezea biz na ting ting Zero mileage ndai speedometer inachezea 260 Samahani kwa wenye wako kwa njikli Role ki G ka model wananidigi Naeza jitengenezea biz na ting ting Chase cash bila shortcut But rodi ikiwa na jam natumia wrong turn Very sure hatuezi crash S Class Kigonyi amepitishiwa steam akabonda Natumia kama Trojan kwa madem zao kuwavulia toja Dirisha zikue top ni hot box na ma boza Kabaridi ni warm up Full tank na medi kuzoza long term [Chorus] Chuo tuliwai E sai nawazoza na S Class (GLE) Stima ka Tesla Ma goat mi ndio shepherd Chauffeur sidai hii safari najipeleka S Class S Class S Class convoy Convoy ndai inaongoza ni Defender Strangers zii strictly inakuanga members Backbencher ndani ya S Class Backbencher ndani ya S Class [Verse 3] Ukizua utararuliwa rectum Ficha your mom unaeza skia mi ndio stepdad Diss me nikufanyie disinfectant Nima Peptang pepepeta Nawapita unaeza wadhani wakua in motion Wekeza mbona unaeka emotions Ningekua Addi Teacha Mboka Doba ndio Motto Anyway Kayole pia ni Portmore [Verse 1 Reprise] Venye nawa view angle ni ya side mirror Ka ki lorry nimejibebea majicha Pigwa saniffing bado usipo makinika Usigoe mrass skuma gunga adi rehab Country inipige hype ni trace ma mita Jamdown na ni jipin itoka tisa Number ni moja bado sijai badilisha Labda mtaa ndio ni wangore na class Chuo tuliwai E

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Tazama video

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

t y v o d a r
t y v o d a rMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.