TOXIC LYRIKALI
Jalada la Most Wanted

Most Wanted

akiwa na Kapitani
34 mionekano
AbundanceKENYAN HIPHOPSheng, Swahili2026
PRODUSA Ares66, Del Fredro & Toxic Lyrikali
IMEANDIKWA NA Toxic Lyrikali, Zien Kapitani, Ares66
Mboka Mboka Doba (Big Beats Afrvk) [Chorus] Si ndio most wanted Si ndio most wanted Si ndio most wanted [Verse 1: Kapitani] Judge akipitia file inasema ulipigwa mangumi Uliguzwa guzwa ukafura ka rider wa nduthi Ni uende shatha ama ushonewe suti Kaka brasa usidhani itakuwa ni ya kuenda harusi Hii ni wrong number hubongi na customer care Niko thirsty and hungry niko hapa kujilea Nabonga lion's share Kanjo anaona doh akuna mtu anaonea Ungekuwa gwanda ungeelewa Hii yote ni biashara tuko hii pande ingine ya meza Advantage wako nayo ni bunduki na jela Missioni ni simple ingia toka na mbegega Ma headie ni safi ni stoko mpya nimeleta Mirista ka leprosy I swear they can't touch we Kabla utu round please fanya mathematics Hizo comparison ni za uwaganis mbachwe Juu ni keki lazima nione nguo zake za birthday [Chorus] Si ndio most wanted Si ndio most wanted Si ndio most wanted Si ndio.. [Verse 2: Toxic Lyrikali] Kama snitch stenje walai tena zimeritipo Niko outside but naongea tu na my people Heavy weight pressure control, si mzito Came with a pistol chokoza wajue si risto Kuwa round na kuwakata ki-jig saw Mchana kwa mbulu giz cc mbulu iezi idiglo Mapills niko active sitamani ata pillow Hatujui kurizz izi zone one rizz one reason Free all majicha in prison I see mnadhani mi ni wa season Do it fi the bill sidai kuchachishwa kwa billboard Moment of silence naeza zaski pin drop Na bag ma-millions, ni fanye njege minions Nawapita inawauma kuni see me on Believe we get rich naweka billion [Chorus] Si ndio most wanted Si ndio most wanted Si ndio most wanted [Verse 3: Toxic Lyrikali] Ukikuja kutu-criticize nakuacha in a critical condition Nimewashock kila mwezi shocks new edition Msupa change position nani amesema ni ya mwisho Nilimrizz na kumpin king size ya wetop Mana T nimeshindwa kuingia detox Opposite stage ni ma mugra kwa ziplock Snitch kusulubishwa inafaa kua suluhisho Juu ya envy wananitumia vitisho [Chorus] Si ndio most wanted Si ndio most wanted Si ndio most wanted

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Sergii
SergiiMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.