
Mbebe
54 mionekano
Mboka doba
[Chorus]
Nataka uwe wangu pekee
Unigee mi pekech
Unipee head na unipe ma headache
Unikiss honey kisirani nikuletee
Nataka uwe wangu pekee
Unigee mi pekech
Unipee head na unipe ma headache
Unikiss honey kisirani nikuletee
Mbebe, mbebe
Come baby nikuchome maheadie
Mbebe, mbebe
Tukidoz kumbuka si mchele ni sembe
Mbebe
Uniride kama mbege
Mbebe
Twende lap nikubebe mbebe
[Verse]
Napenda dancehall na yeye anapenda reggae
Different things, same vibe mi na yeye
Ananishow kiche siko hapa ju ya kichele
Na hii love ilast isikue ni kinenge
Juu kama ni lust hii kitu haita work
We ni trust mbebe na urelax
Tukienda farther nakupeleka kwa mum
Na nikikucheza hapo najua nimebant
Vile uko tight ka bracelet ya Kenya
Lazima nikusunde si unajua we ni ndenga
Locked kama ting ting
Mi ni zingaro gwiji nikufanye uishi kama queen-pin
Ka watu wa okada ukibonda tunachoma
Atuchoreani labda mambo yao ju si important
Ukalie hii mti wadhani ni Harry Potter
Wachana na mambo yao nawajua ni ma reporter
[Chorus]
Nataka uwe wangu pekee
Unigee mi pekech
Unipee head na unipe ma headache
Unikiss honey kisirani nikuletee
Nataka uwe wangu pekee
Unigee mi pekech
Unipee head na unipe ma headache
Unikiss honey kisirani nikuletee
Mbebe, mbebe
Come baby nikuchome maheadie
Mbebe, mbebe
Tukidoz kumbuka si mchele ni sembe
Mbebe
Uniride kama mbege
Mbebe, mbebe
Twende lap nikubebe mbebe
Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.
Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.
Endelea kusoma
SHIRIKI
WACHANGIAJI
Mjadala
Ingia to join the discussion.