WATENDAWILI
Jalada la For Real

For Real

14 mionekano
AFRO-POPSwahili, English, Sheng2022
PRODUSA Wuod Omollo
IMEANDIKWA NA Ywaya Eugine Simon, Edgar Israel Onyach
[Verse 1: Ywaya Tajiri] Unawasha moto ata bila kuwa na kibiriti We hufanya nini ndio ukaange tu fiti hivi Aki mama Mpaka moyo wangu unasimama Na ungekuwa chakula mpenzi wangu ningeweka nyingi Kupata mchuzi kama wako manze si rahisi Aki mama Staki tena mi kukudanganya Juu mi hukuonea mbali nakuwanga na tamaa Ni venye sijawahi sema sitakangi drama Je uko na chali ama uko single Na ka uko single pia naeza dai tumingle [Pre-Chorus] Aah na itakuwa uchungu sana ukinilenga Juu kwa ndoto zangu, we ukuwanga wangu [Chorus] Na si upendana for real, for real Nataka ukuwe wangu for real, for real Nataka ukuwe wangu for real For real, for real Njoo basi ukuwe wangu for real [Verse 2: Onyach Pala] Kidegee-kidegee, tumepanda matatu lakini kesho ndege Aaah, mpenzi mi ni mi na wewe Juu hii safari joh sioni bila wewe La salama salimin, ntakufikisha apo Fumba na ufumbue macho Nataka niwe wako Njoo unitulizie mawazo Nataka penzi lako Kuja nimefungua mlango Iko wazi juu yako [Pre-Chorus] Aaah, na itakuwa uchungu sana ukinilenga Juu kwa ndoto zangu, we ukuwanga wangu [Chorus] Na si upendana for real, for real Nataka ukuwe wangu for real, for real Nataka ukuwe wangu for real For real, for real Njoo basi ukuwe wangu for real Nataka ukuwe wangu for real, for real Nataka ukuwe wangu for real For real, for real Njoo basi ukuwe wangu for real Uwe wangu Uwe wangu Kuwa wangu ma Uwe wangu Aaah wangu Uwe wangu Uwe wangu

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Sergii
SergiiMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.