WATENDAWILI
Jalada la Lavender

Lavender

akiwa na Hornsphere
160 mionekano
HekayaKENYAN POPSheng, Swahili, French, Luo2026
PRODUSA Run
IMEANDIKWA NA Eugene Simon Ywaya, Edgar Israel Onyach
[Verse 1] Lavender mbona unanichokoza Tulitoka nyumbani tukiwa pamoja Sherehe yetu ilianza poa Ila sasa mi naona unaanza kuvuka border Umeanza kurombosea wenzangu Wivu inanishika hapa sitatoboa Wengine pia unawabusu mashavu Inaniuma sana naomba kujitoa [Verse 2] Naingia Westie nipige shots Ndo nipunguze mawazo Staki tena kujiforce Kama hunipi muda wako [Chorus ] Tupatane patanisho tutatue shida zetu Tupeleke kwa redio, hatuwezi pekee yetu Sisi wote binadamu Mwenye hana kosa tu ni Yesu Tupatane patanisho Tutatue shida zetu aah Je t'aime, jaber bi watem loso Je t'aime, jaber bi watem loso [Verse 3] Lavender pole juzi nilichelewa Nilikupata kitandani umelemewa Ulinipigia siku nzima Na zangu zlishika simu kazima Lavender aki nimekufanya wazimu Mapenzi ya chungwa imegeuka ndimu Najua mengi kosa nimefanya Ni ukweli baby siwezi kana Punguza sauti ndani ya nganya Mimi na mpenzi wangu tuweze sikizana [Chorus] Tupatane patanisho tutatue shida zetu Tupeleke kwa redio, hatuwezi pekee yetu Sisi wote binadamu Mwenye hana kosa tu ni Yesu Tupatane patanisho Tutatue shida zetu Je taime, jaber bi watem loso Je t'aime, jaber bi watem loso Je taime, jaber bi watem loso Je t'aime, jaber bi watem loso Je, je taime baby [Outro] Asega manyi sana sweatheart Ki bed eeh laro kanyo Medane volume Mar nyakalondo Asai jaber bi watem walosie Koso alake gi dhok ufaransa Désolé ma chérie lovie amwa Désolé eeh ahh awuoro hera yawa

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Njarika
NjarikaMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.