WATENDAWILI
Jalada la Mapenzi Yako

Mapenzi Yako

6 mionekano
En RouteAFRO-POPSwahili, Luo, English2024
PRODUSA Bassman
IMEANDIKWA NA Ywaya Eugine Simon, Edgar Israel Onyach
[Chorus] Ahhh ahhhh mapenzi yako Ahh ahhh mapenzi yako Wengi wametafuta hawajapata kama Ahhh ahhh mapenzi yako [Verse 1] No rushing njoo kwangu sababu Me sitakupa ma sweet nothing Sinanga fitina me nitakulinda Baby nishike nikushike my prisoner Love imenoga and you know what you’re doing Smile yako ndio me natamani asubuhi Kwani we haujui? Let me show you my darling Aneni aneni iber ndi iber ndi Nimekudigi yaaa Aneni mahhh Iber ndi ti ler ndi nimekukufia Ana dwa ana dwari for your love and your body Cause you do me like its a movie like you’re my favorite soap opera [Chorus] Ahhh ahhhh mapenzi yako Ahh ahhh mapenzi yako Wengi wametafuta hawajapata kama Ahhh ahhh mapenzi yako [Verse 2] Kwa mapenzi umebobea Mabinti wengine hawawezi kukufikia Nyadundo tilando mit kama obambo The only fish in my Victoria Ne kak inyonoga ne kak itima Mawazo ni yako tu usiku mzima Abebo ahero abebo ahero Kak wanyiero abebo bi ineno Abebo bi ineno sina maneno an aweri Ka apenjo jogweng' to be gineni An aweri Ka apenjo jogweng’ to be gineni Cause you do me like its a movie like you’re my favorite soap opera [Chorus] Ahhh ahhhh mapenzi yako Ahh ahhh mapenzi yako Wengi wametafuta hawaja pata kama Ahhh ahhh mapenzi yako Kama Ahhh ahhh mapenzi yako Kama Ahhh ahhh mapenzi yako

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Sergii
SergiiMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.