WATENDAWILI
Jalada la Rest Of My Life

Rest Of My Life

4 mionekano
Double TrebleAFRO-POPSwahili, English2023
PRODUSA SoFresh
IMEANDIKWA NA Ywaya Eugine Simon, Edgar Israel Onyach
[Verse 1] Subira isha vuta heri We kando yangu tabasumu Juu leo Siku yetu ya mapenzi Maishaa, kuishi na wewe Hadi milele ndio raha kwangu Nime kuweka mbele [Pre-Chorus] Ju kabla kujuana tulitongozana Ikaingiana tukishwanadwa kuwachana Ona leo hii You’re in love with me Kabla kujuana tulitongozona Iliingiana juu tuliombana sana Ona leo hii You are mine to be [Chorus] For the Rest of my life For the Rest of my life I feel so lucky unami For the rest of my life For the rest of my life For the rest of my life I feel so happy unami For the Rest of my life Yelelele mama Yelelele mama Yelelele mama Yelelele mama For the rest of my For the rest of my Life Yelelele mama Yelelele mama Yelelele mama Yelelele mama For the rest of my For the rest of my Life [Verse 2] Mayday mayday man down Wapendanao The newest couple in town Ndio sisi hao And I really broke down When I saw you walk in your Wedding gown Woah woah [Pre-Chorus] Kabla kujuana tulitongozana Ikaingiana tukashindwa kuwachana Ona leo hii You’re in love with me Kabla kujuana tulitongozona Iliingiana Tuliombana sana Ona leo hii We are meant to be [Chorus] For the Rest of my life For the Rest of my life I feel so lucky unami For the rest of my life For the rest of my life For the rest of my life I feel so happy unami For the Rest of my life Yelelele mama Yelelele mama Yelelele mama Yelelele mama For the rest of my For the rest of my Life Yelelele mama Yelelele mama Yelelele mama Yelelele mama For the rest of my For the rest of my Life

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Sergii
SergiiMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.