WE ARE NUBIA
Jalada la Longo Longo

Longo Longo

10 mionekano
KENYAN R&BSwahili2026
PRODUSA Run
IMEANDIKWA NA We are Nubia, Xenia Manasseh, MercuryOfficial
[Intro] Longo, longo longo Longo longo longo Run [Verse 1: Xenia Manasseh] Mara ngapi nimepitia Mara ngapi nitakulilia Na kisha ni mara ngapi Unadhani nitakurudia Mi siwezi tena Januari, Disemba Sina budi nenda lote Wooo [Pre-Chorus] Mpendwa Nishachoka bembeleza Najikwaa najiteleza Sitaki kukupenda [Chorus] Unapenda longo longo longo Longo longo longo Kama unanipenda Ishara zinaonyesha Longo longo longo Longo longo longo Mchezo unaocheza Ni kama umezoea Longo, longo, longo Longo, longo, longo Ni kama umezoea [Verse 2: Maggie Atieno] Hisia zaja zapita na madakika yanakwisha Hamu imenitenga, tamu hakuna tena Ni bora unipe the distance, mapema mapema Ukweli huwezi fichika nakutakia mema [Pre-Chorus] Mpendwa (mpendwa yeah yeah) Nishachoka bembeleza (nishachoka bembeleza) Najikwaa najiteleza Sitaki kukupenda (penda yeah eh) [Chorus] Unapenda longo longo longo Longo longo longo Kama unanipenda Ishara zinaonyesha Longo longo longo Longo longo longo Mchezo unaocheza Ni kama umezoea Longo, longo, longo Longo, longo, longo Ni kama umezoea [Verse 3: Gloria Munga] Siwezi kukulazimisha na maji yamejaza ndoo Yakishamwagika huwezi yazoa like you did before Kama kweli ulinipenda Ungenieleza, moyo kwenye meza [Pre-Chorus] Mpendwa Nishachoka bembeleza (bembeleza, bembeleza) Najikwaa najiteleza Sitaki kukupenda (kukupenda, we wapenda) [Chorus] Unapenda longo longo longo Longo longo longo Kama unanipenda Ishara zinaonyesha Longo longo longo Longo longo longo Mchezo unaocheza Ni kama umezoea Longo, longo, longo Longo, longo, longo Ni kama umezoea

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Onslaught
OnslaughtMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.