AVRIL

Hey ah Hey ah Marya Avril
Hey ah Hey ah
[VERSE 1]
Hey Marya vipi nakwambia
Kuna chali anaangalia
Mi na Avril tukaenda msalimia
Akatupa shoti za tequilla
Huyu chali akaanza kukatia
Eti body zetu zavutia
Tukapanga vile kumkimbia
Tukaenda loo kisha tukadisappear
Mi na beshte yangu tumekuja klabu
(Kazi yetu si ni kuchokoza)
Chali hunipati after hii party
(Nimekuja tu kukuchokoza)
Mi na beshte yangu tumekuja klabu
(Kazi yetu si ni kuchokoza)
Chali hunipati after hii party
[CHORUS]
Tume-tumekuja choko
Tumekuja chokoza aha-aha
Usidhani umepata nafasi aha-aha-aha
Tumekuja chokoza aha-aha
Usidhani umepata nafasi
[VERSE 2]
Ewe chali usione mimi ni chipsi funga we
When I smile at you, don’t mean I want to spend the night with you
When I dance with you don’t mean I want to get freaky with you
(Ati twende nyumbani)
We chali hebu wacha ufala we
Miniskirti ni urembo tazama lakini songa we
Songa mbali don’t you see that you are, bugging me
I’ve got my own my job my cash (my job my cash etc)
Tafadhali nipe heshima yangu
[CHORUS]
Tume-tumekuja choko
Tumekuja chokoza aha-aha
Usidhani umepata nafasi aha-aha-aha
Tumekuja chokoza aha-aha
Usidhani umepata nafasi
Tumekuja chokoza aha-aha
Usidhani umepata nafasi aha-aha-aha
Tumekuja chokoza aha-aha
Usidhani umepata nafasi (fasi fasi)
[Outro]
Ai Marya mbona machali hubehave hivi
Tumeenda club lakini wanaume
Jamaa hajui kama napenda machali
Ama madame
Mi nikiingia nataka beshte
Tujuane kwanza bana
Mi na beshte yangu tumekuja klabu
Kazi yetu si ni kuchokoza
Chali hunipati after hii party
Nimekuja tu kukuchokoza
Mi na beshte yangu tumekuja klabu
Kazi yetu si ni kuchokoza
Chali hunipati after hii party
[CHORUS]
Tumekuja chokoza aha-aha
Usidhani umepata nafasi aha-aha-aha
Tumekuja chokoza aha-aha
Usidhani umepata nafasi aha-aha-aha
Sign in and select any words to explain a line.
No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE
CONTRIBUTORS
Discussion
Sign in to join the discussion.