NJERAE
Penzi Wa Kasi artwork

Penzi Wa Kasi

UnintentionalKENYAN R&BSwahili, English· 2022· 0 views
PROD. BY Trevor Magak, So Fresh
WRITTEN BY Njeri Mwengi
[Verse 1] You're telling me this, telling me that Saying that you won't ever have to think twice Ukipata nafasi hupotezi wakati Saying that you won't fall back, no way And all you need to show me is just one day Ukipata nafasi hivyo ushakuwa chali Juu saa zingine tunavibe and you know that's alright I know you know we've made it through so many nights Na hiyo time inapofika, you know you're the one mi nitaita Itika nikufikie bado unirudie Mapenzi ni ya bure utaachwa usisinzie [Chorus] Take it nice and slow, don't get lost, oh no Kwa mwendo wa kasi, nipe nafasi Nikuonyeshe mapenzi wa kasi Niko na penzi wa kasi Kwa mwendo wa kasi, oh nipe nafasi Nikuonyeshe mapenzi wa kasi Niko na penzi wa kasi [Verse 2] Na kinacho nichangaya Ni nini yeyе hufanyanga na Mi bado hung'ang'ana Juu siko ready kusema kwa heri no Na kinacho nichangaya Ni nini yеye hufanyanga na Mi bado hung'ang'ana Juu siko ready kusema kwa heri [Bridge] Ooh ohh oh oh, ooh ohh oh oh Ooh ohh oh oh, ooh ohh oh oh [Outro] Kwa mwendo wa kasi, nipe nafasi Nikuonyeshe mapenzi wa kasi Niko na penzi wa kasi Kwa mwendo wa kasi, oh nipe nafasi Nikuonyeshe mapenzi wa kasi Niko na penzi wa kasi

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE

CONTRIBUTORS

Sergii
SergiiAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.