OCHUNGULO FAMILY
Bandana Ya Esir artwork

Bandana Ya Esir

ft. NellyTheGoon, Nameless, Dmore, Habib & Trio Mio
Book 1GENGETONESheng, Swahili, English· 2022· 0 views
PROD. BY Motif di Don
WRITTEN BY Dmore, Nameless, Trio Mio, Habib, NellyTheGoon
[Verse 1: Nellythegoon] Mana bad man ting Bak-bandika bak-bandua Aste aste kajegi ina mature Damhalua kakinipa me naua Meza mate au uteme na mapua Kukuruku amka kumekucha Boss ni luku na hukatangi makucha Ruku ruku kwa wale kuninusa Goons mandugu mandugu kuungusha Vete- ve Veteran Kama veve Na veveta Nina racket ya federa Na sisongi na federa Asta la vista Naendea your sister Namkutanisha style za batista Na monalisa ni dem wa Garrisa Na quota misa niko saa kanisa [Hook] Bandana ya E-sir Fresh ka bandana ya E-sir Bandana ya E-sir Niko fresh ka bandana ya E-sir Bandana ya E-sir Niko fresh ka bandana ya E-sir Bandana ya E-sir Fresh ka bandana ya E-sir [Verse 2: Nellythegoon] Nikiwa highschool Nilikuwa naitwa Pudo Jonto saa ya phyzo niko ludo Saa moja ni saa ya kupitisha burungo First body ndio alinifunzanga makumbo Nikiwa 16 mfuko gode 16 17 niko matings ndani ya 18 18 nilikua nadaisha niko 19 19 kila time ni 4:20 [Verse 3: Nameless] Four twenty For twenty years Na bado nmestand Kama cross ya kanisa Bado fresh kama bandana ya E-sir Wananitambua sihitaji visa Niko real nimechill sina speed Niko zone air borne Siko greedy Mbao teeth, hebu nijenge Wajue the real meaning of Mathenge Ve-te veteran na wasikudanganye Coz am still the one Ve-te veteran na wasikudanganye Coz am still the one [Hook] Bandana ya E-sir Fresh ka bandana ya E-sir Bandana ya E-sir Niko fresh ka bandana ya E-sir Bandana ya E-sir Fresh ka bandana ya E-sir Bandana ya E-sir Niko fresh ka bandana ya E-sir [Verse 4: Habib] Hii ni ya madada kila klabu Wakiruka kama panzi Lyrics za habib Zawainua kama chupa ya Bacardi Wachungu ka limau lakini watamu kaa sukari Alhamdulillahi Amen Hii ni ya madada wenye midomo nyekundu kaa mabuyu Nataka kuwapiga busu Niwaambie vile nawapenda nikama nyinyi ndugu Na E-sir alinionya juu ya mamanzi kama nyinyi Kama hatuna hatuli Ukinipa sishibi Ninaruka vikini Ukinipa ulimi Mi husahau bibi Kupigania sishindi Vile mama wewe huringi Ndio nakutaka zaidi (uuuuhhhh) Fresh kama [Hook] Bandana ya E-sir Fresh ka bandana ya E-sir Bandana ya E-sir Niko fresh ka bandana ya E-sir Bandana ya E-sir Fresh ka bandana ya E-sir Bandana ya E-sir Niko fresh ka bandana ya E-sir [Verse 5: Dmore] Genge South C naogopa Genje nikisanif naomoka Sembe kila siku niko mboka Wembe kaa J.J okocha Si ndo wale huvuta tire ndani ya chopa Si ndio wale huingia piri na mapocha Si ndio wale tukiomoka huenda ocha Si ndio wale huficha kidi ndani ya toja Natesa kaa Murage akiwa Kemsa Nadai dem Gaza kama Petra Me ni lion nasorora tu mazebra Nawatibu kama Panadol extra [Verse 6: Trio Mio] Haiyaaaa Bandana ya E-sir Niko fresh ka bandana ya E-sir Mko pressed mnang'ang'ania maisha Ndio maana sikuangi impressed mukidanganya kwa Insta Naogopa two things sauti ya shootings Nguku ana mood swings juu they confuse me Mulinitrendisha Kwa twitter for like two weeks Nyi sahi mko daro munaandikia ma new hit Mafala kabisa mmekam na change kama makanga wa Nissan Mistari fresh kaa [Hook] Bandana ya E-sir Fresh ka bandana ya E-sir Bandana ya E-sir Niko fresh ka bandana ya E-sir Bandana ya E-sir Fresh ka bandana ya E-sir Bandana ya E-sir Niko fresh ka bandana ya E-sir

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE

CONTRIBUTORS

Sergii
SergiiAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.