OCHUNGULO FAMILY
Make Up artwork

Make Up

ft. NellyTheGoon, Dmore & Benzema
Book 1GENGETONESheng, Swahili, English· 2020· 0 views
PROD. BY Musyoka
WRITTEN BY NellyTheGoon, Benzema, Dmore
[Chorus] Siri ya urembo ni make up, mmmmh ni make up Siri ya urembo ni make up, eh ni make up Si urembo ni make up, mmmmh ni make up Si urembo ni make up, eh ni make up [Verse 1: Benzema] Hello Hello ni Maybelline Ni Alenjandro nitakusaidia aje Lynn Mlisema kutakuwa na offer juzi Ati mtafanya nikae kama Chungli Ati mtafanya nikae Italian wa Azuri Ati kuna venye eyelash zenyu ni mwavuli Ati pata pesa ndo utajua maana ya sabuni Usipake foundation ukiwa na vumbi Kuna dem anachanga changa Anabuy make-up ya kupaka paka Kuku kuku manga manga Turi turi dara dara [Chorus] Siri ya urembo ni make up, mmmmh ni make up Siri ya urembo ni make up, eh ni make up Si urembo ni make up, mmmmh ni make up Si urembo ni make up, eh ni make up [Verse 2: NellyTheGoon] Siri yangu when I wake up, aii, I bake up Siri yake when she wake up, ni make up uii Atoti mascara, lipstic imekaukia kwa sigara Crop-top umebuy ya past Ngara Swara swara mi nakwara Aii dem hutoa maziwa na hakulangi nyasi Wazi wazi unaweza jua ka ana wasi wasi Ni karembo mpaka kanapiga mpaka nywele pasi Side chic ndo huwacha lipstic kwa shati, aaii [Chorus] Siri ya urembo ni make up, mmmmh ni make up Siri ya urembo ni make up, eh ni make up Si urembo ni make up, mmmmh ni make up Si urembo ni make up, eh ni make up [Verse 3: Dmore] Seti seti, seti hiyo turi Wilbroda Seti seti, seti kigode na mafathela D, niko na keys for the city Kingpin streets za hii city Tycoon mpaka Kariobangi Papa ju ya goro na manjiri Nina madem huleta ushuru Madem mapoko uzia Uhuru Madem mapedi Buru Buru Madem masufferer kutoka Uthiru (Hello I wish wondering if you could play tha song again) (Which one men? 'The one that goes...') [Verse 4: NellyTheGoon] Eeeh ayee, eeh ayee, eeh ayee DJ ongeza volume ndo tunyambishe speaker Namdinya na G Bag ka ni wa Thika namdinya na njiva Namdinya ka FIFA akinikasirisha Namdinya kwa pipa namdinya kwa Nisan Ukinilipa nitamdinya kwa G class Aiyayayaya nabonga venya nataka Hamwezi nikataza ka inakuumiza Kuna Daudi Kabaka ndo upate baraka Na ukiniuliza unapenda mahaga ya dem kahaba Na akikulisha utalazwa Kenyatta Ushonwe viraka aiyayaayya [Verse 5: Benzema] Ezekiel Mutua naskia mtoi wako anaskiza Gengetone Ezekiel Mutua naskia bibi yako anapenda Gengetone Mahater hater ni wengi nawatahiri leo na machete Hao bitchri ambao kwa gazeti, headline news telly Na leo sikam harusi nakam na bakuli imejaa matusi Nawamada ka HIVirusi mnatupangia sisi mazishi Wajinga wajinga, wajinga nyinyi Wajinga wajinga, mutuwache sisi Wajinga wajinga, wajinga nyinyi Wajinga wajinga, mutuwache sisi

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE

CONTRIBUTORS

Sergii
SergiiAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.