OCHUNGULO FAMILY
[Intro]
Sinanga chopper
Matatu yunibeba bure
Sinanga chopper (walai)
Mana bad man ting
[Chorus]
Mpenzi mtazamaji
Mi nakata maji
Mpenzi mtazamaji
Mi nakata maji
Mi sina ubaya
Sinanga ubaya
Mi sina ubaya
Sinanga ubaya
[Verse 1: NellyTheGoon]
Ai beba beba akikuja mi nateka teka
Teka nyama ikideka deka
Napenda kukachocha
Kakicheka cheka
Na kwa bash mi nameremeta
Mjulubeng ndio nacater cater
Nachanganya changanya ka carburetor
Body figure toa carculator
Nikuonyeshe math kaa operator
Usijali ile doh ntareta
Nakuaga na connect na coordinator
Sina time ya call me rater
Aaii
[Chorus]
Mpenzi mtazamaji
Mi nakata maji
Mpenzi mtazamaji
Mi nakata maji
Mi sina ubaya
Sinanga ubaya
Mi sina ubaya
Sinanga ubaya
[Verse 2: Mejja]
Msupa uko fine
Unakaa manzi ako 20 na uko thate fai
Ntakurarua leo kama matumbo fry
Ama kare gani ama namna gani
Manze kuna vile vile nakutamani
Vile unakunywa makali mi nakuogopa
Vile unachapa flash we ni wamunyota
Unapenda genge naona ukizitoka
Jina yako IG nataka kukustalk
Sipendi mambleina mambleina mi huwablock
Umetoka salon na bado nakusuka
Usiskize Huddah usifunge duka
[Chorus]
Mpenzi mtazamaji
Mi nakata maji
Mpenzi mtazamaji
Mi nakata maji
Mi sina ubaya
Sinanga ubaya
Mi sina ubaya
Sinanga ubaya
[Verse 3: Dmore]
Poritic jeshi iko tick
Njumu tick luku luku tick
Mangeus tick
Matoba ni tick
Tei tick ssh ssh tick
Mama mia sema nachotaka
Mama mia sema nachotaka
Kayiela sema nachotaka
Sema nachotaka
Sema nachotaka
Mi fathela sijaanza juzi
Papa ka sonko nina ujuzi
Bomboclat hatupendi upuzi
Mahead bad mwenda chizi
[Chorus]
Mpenzi mtazamaji
Mi nakata maji
Mpenzi mtazamaji
Mi nakata maji
Mi sina ubaya
Sinanga ubaya
Mi sina ubaya
Sinanga ubaya
[Verse 4: Benzema]
Alehandro ni wewe umepupu
Ka si dj ama bouncer mi nashuku
Niko aquarium ndani nimefuga kuku
Mayai yadinosaur si hutoshana na njugu
Miss Kenya aliuse mwakenya
Jimmy Gait atapata bibi tena
Cinderella ni agent wa mpesa
Siwezi katia dem anaitwa Philomena
Na ananiuliza tender ya kupika Omena
Tattoo kaa za Scofield amehepa jela
Nani mtiaji princi ama depa
Ukipatwa na ukedi utasema
[Chorus]
Mpenzi mtazamaji
Mi nakata maji
Mpenzi mtazamaji
Mi nakata maji
Mi sina ubaya
Sinanga ubaya
Mi sina ubaya
Sinanga ubaya
[Verse 5: Madtraxx]
Yooh niaje baby usipoteze time
Si unajua Mejjah anakuwanga na wife
Nelly hakuwangi serious na life
Lenga Benzema si unajua ni fisi
Dmore na mandom si unajua ni chizi
Imebaki nani si imebaki mini
Kuja nikushow maisha ya rangee
Usare mauber uingie Mercedes
Usare fuliza nikupee mafilingi
Wacha Toi market twende Garden City
Sinanga ubaya
Sign in and select any words to explain a line.
No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE
CONTRIBUTORS
Discussion
Sign in to join the discussion.