VIRUSI MBAYA

One Two Crew
ft. Scar Mkadinali
KENYAN DRILLSheng, Swahili, English· 2025· 0 views
PROD. BY CTB Productions
WRITTEN BY Virusi Mbaya, Scar Mkadinali
[Chorus: Virusi Mbaya]
Hizi streets ni za machampe
After win tunapop champagne
Nikimaliza utanishow compe
Mrembo kama vela anaenda chain
Ni ma one two nikitokea na crew
Si unajua manze what we do
Ni ma one two nikitokea na crew
Si hu-uwa that's what we do
Ni ma one two nikitokea na crew
Si unajua manze what we do
Ni ma one two nikitokea na crew
Si hu-uwa that's what we do
[Verse 1: Virusi Mbaya]
Na nikitokea Nakuru me hutokea na crew
Nahitaji spanner nashinda nimejiscrew
Why lie na mistari zangu ni true
Na in fact this naifanyia to my crew
Estate gang shimai ata hawana clue
Kabla mwaka iishe na zile vitu tutado
Hii ni blanda watabongea majuu
Niko mashada zinanibeba juu juu
Soma rada wee si illitrate dued
Nikiwa ma-wada me huwajibu virude
Mistari joh sure, sema baraka
Ni ma demons nafufua usiite talanta
Na upishi mi nafanya joh kijana matata
Vitu zinalipuka kwa kichwa ni ma
Pa pa pa pa pow
Staikubali unitharau nilidedi ubao
In fact najimake king 'ntakufanya u-bow
Wanafanya zetu zetu na hatufanyi za kwao
Wakiskia kuna offer wanafika wafao
Ukambani me nazoza wanashindwa nichau
Na marapper nawakosa walirudingi chao
Ka ni Kibra me narep utadhani ni town
Ka ni vela me naset kuepuka maclown
Wakidhani me nachizi nilifyat kitambo
Ukishuku ni rahisi karibia nikuhumble
[Chorus: Virusi Mbaya]
Hizi streets ni za machampe
After win tunapop champagne
Nikimaliza utanishow compe
Mrembo kama vela anaenda chain
Ni ma one two nikitokea na crew
Si unajua manze what we do
Ni ma one two nikitokea na crew
Si hu-uwa that's what we do
Ni ma one two nikitokea na crew
Si unajua manze what we do
Ni ma one two nikitokea na crew
Si hu-uwa that's what we do
[Verse 2: Scar Mkadinali]
It's a new year na denge ni mwecheche
Pia mahater wananichukua ni mwecheche
Nimebonda maybe kichele inichekeshe
President rende gang me ni protege
Rasta usihop sana nitembezee
Nawashwa kapilipili akikamata dame
Msupa alinitext ati I love you
Scar-de de akamtext back ati
He-he-he
He-he
He-he-he
Si ni funny
Mziza akilia machozi humwagika ndani
Maline 1,2,3 naenda kwa gummies for real
Washajua ni nani
Vitu zinatendeka zinawezaamsha Dedan
Polisi wanatumada ni ka wapematiwa tender
Mpaka watoto wadogo hamna roho
Na geneza ikiwa ndogo
Ndio huwaga nzito sana kubeba
East mpaka West mziza ndio bado nawapenda
Nimeichimba kutoka nikuwe kapyenga
Utalipia hakuna kitelezi cha bure
Vile vile fisi hawaonangi kundule
Sikatiani mpaka watoto warudi shule
Walitusaka hawakutupata wako too late
Round hii lazima pia sisi tukule
Crazy V na Scar hurray
[Chorus: Virusi Mbaya]
Hizi streets ni za machampe
After win tunapop champagne
Nikimaliza utanishow compe
Mrembo kama vela anaenda chain
Ni ma one two nikitokea na crew
Si unajua manze what we do
Ni ma one two nikitokea na crew
Si hu-uwa that's what we do
Ni ma one two nikitokea na crew
Si unajua manze what we do
Ni ma one two nikitokea na crew
Si hu-uwa that's what we do
Sign in and select any words to explain a line.
No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE
CONTRIBUTORS
Discussion
Sign in to join the discussion.