WAKADINALI
Dilated artwork

Dilated

Victims of MadnessKENYAN DRILLSheng, Swahili, English· 2020· 2 views
PROD. BY AlexVice254
WRITTEN BY Domani Munga, Sewersydaa, Scar Mkadinali
[Intro] Ni kama leo mabunduki ndio zilikuwa zinafanya kazi Pu! pu! pu! pu!, pu! pu! pu! pu!, si watu watakufa? Sasa sisi, mimi mtu kama mimi sina bunduki Kwa hivyo DCIO, DCIO akuje atusaidie [Chorus: Domani Munga] Si hukam na mamacho dilated, of course utaitana Karao alihate mabro walirelate, ju ni ma pro marijuana Nguna ana fake accent, lakini amejaribu Ka uko na chest pains, wacha tukujibu tunatibu wivu Si hukam na mamacho dilated, of course utaitana Karao alihate mabro walirelate, ju ni ma pro marijuana Nguna ana fake accent, lakini amejaribu Ka uko na chest pains, wacha tukujibu tunatibu wivu [Verse 1: SewerSydaa] Napiga lap Nairobi maithaa mbaya kama helly ya Covid Area code ni maili ya saba Android ilipeana mbogi Kikosi haikosi kusamba panga, ukiresist kwa lobby Shori alitaka namba amezoea kuchimba, akachimbe fossils Yo, walifuatwa kutoka Outer wakamadwa Kagundo Road Mowlem Early sato morning Ali alishtukia Hessy amemuoket Spider weapon gun imported we una AK 47 Usipatwe ogopa open naskia kuna msako baada ya news ya 7 Leo tuko ndani ya kеja hatutoki, jeshi iko handas na choki Mbleina alikulwa toja, toki, talker, coppеr na koti Jeshi ya Kodja, hatuko Tom Mboya unless ni bigi missioni Tourist mwenye aligongwa na hawker akatoboka madollar, sorry Welcome to Nairobi though, chunga pori yoh Giza kwa corridor arif aligeuziwa na morio Android ilipigwa tapo chokoch alichumia Ladhies Road Si uliambiwa ungafu diro, madam huku hatuko Oteto [Chorus: Domani Munga] Si hukam na mamacho dilated, of course utaitana Karao alihate mabro walirelate, ju ni ma pro marijuana Nguna ana fake accent, lakini amejaribu Ka uko na chest pains, wacha tukujibu tunatibu wivu Si hukam na mamacho dilated, of course utaitana Karao alihate mabro walirelate, ju ni ma pro marijuana Nguna ana fake accent, lakini amejaribu Ka uko na chest pains, wacha tukujibu tunatibu wivu [Verse 2: Domani Munga] Chuom tunashinda, zimecrome na makiller Anti-terror units wanajua Munga ni pro Man-a-Driller Tortoise amphibian ni chura, Bonnie and Clyde ni tuvamie mashuttles Ujue ka ulinitusi we ndo fala msee, juzi nikidandia masacco Facebook ni free mode, usiongelelee eyebrows Kama hujai oganga na Omo ama ujipake kimbo usiniambie about struggle Bonga mafi na we ni wa kukuja ati umeosa kuzoza labda umemboch Umenyonga monkey na uko lockdown mpaka umechoka Mtaani ni gang land, ukishukiwa ni unyurie Kuna siku Munga nilitry kutetea msee huyu ameshikiwa bure Fuck it, pingu zililand, mi nikafungwa shoe lace Kwa kina snitch tulibisha anadai angejisqueeze na dirisha Ngeus alidhani tumechat tangu mchana, ananikalisha mi nashikisha Fans KOT wanadai kuskia miracle baby alideya This is unfair, shori alikujia kuni after ashakukula fare Hii raha ina Corona, my suit and tie mradi koroga na different supplier [Chorus: Domani Munga] Si hukam na mamacho dilated, of course utaitana Karao alihate mabro walirelate, ju ni ma pro marijuana Nguna ana fake accent, lakini amejaribu Ka uko na chest pains, wacha tukujibu tunatibu wivu Si hukam na mamacho dilated, of course utaitana Karao alihate mabro walirelate, ju ni ma pro marijuana Nguna ana fake accent, lakini amejaribu Ka uko na chest pains, wacha tukujibu tunatibu wivu [Verse 3: Scar Mkadinali] Pull up kwa nduthi, pa! pa! pa!, of course ni mchana Victim alikuwaga ni mrahis' kuonekana ju anapenda fashion sana Mi na ex-boss wangu tulishakosana, pshh, of course nilimsanya Bro ni Samurai jack akishika panga manze ni costume hana Si guong tumepiga tukisababisha mpaka machuja zinatupa We umekuom na manigga ati kunitisha na mi nimekuja na msupa Kuon na maziwa tunafanikisha nyama tunakula na mfupa Ndom naririma jaba nashikisha pombe tunaikunywa kwa chupa Uh, kukuja ntakuja manze na mi sitatambua Juzi mbang'a angenisare but nilimuuliza "Malaya unanishika unanijua?" Uliza Munga ovacado zetu ukifinya unanunua Napuliza gunga sababu tosha nipe Mola hii sifa na dua Vibe iko sure, hii ndo masaa ukinicall niko mteja Hustahili kuzua mi na budako hukunywa busaa na huko Kakamega Hii kelele iliwalemea ndo maana mliamua kuilenga Kiterere nikiteleza na rende lazima kutesa [Chorus: Domani Munga] Si hukam na mamacho dilated, of course utaitana Karao alihate mabro walirelate, ju ni ma pro marijuana Nguna ana fake accent, lakini amejaribu Ka uko na chest pains, wacha tukujibu tunatibu wivu Si hukam na mamacho dilated, of course utaitana Karao alihate mabro walirelate, ju ni ma pro marijuana Nguna ana fake accent, lakini amejaribu Ka uko na chest pains, wacha tukujibu tunatibu wivu

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE

CONTRIBUTORS

Sergii
SergiiAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.