Safari artwork

Safari

16 views
En RouteAFRO-POPSwahili2024
PROD. BY Wuod Omollo
WRITTEN BY Ywaya Eugine Simon, Edgar Israel Onyach, Shadrack Mulila Mutungi
[Verse 1] Penzi weh skuma gari twende Nieleze sitaki tunyeshewe Kama umechoka ungesema Usife moyo ni mapema Niambie mbona hutaki tena We ndio ulisema ni milele Hakuna kitu itatutenga [Refrain] Penzi weh usinigeuzie Moyo wangu si mashini Ukiniwacha ntaumia Penzi weh usinigeuzie Ubwage moyo wangu chini Ukiniwacha nitaumia [Chorus] Hii safari hii safari ehh Hii safari ya wawili ehh Hii safari hii safari ehh Hii safari ya wawili ehh [Refrain] Penzi weh usinigeuzie Moyo wangu si mashini Ukiniwacha ntaumia Penzi weh usinigeuzie Ubwage moyo wangu chini Ukiniwacha nitaumia [Chorus] Hii safari hii safari ehh Hii safari ya wawili ehh Hii safari hii safari ehh Hii safari ya wawili ehh [Outro] Kare ka nwa chako wuothni To nwa chako kanyakla Ango mo miyo niweya Niweya malit Abera apenjiga apenjigaa

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.

Keep reading

SHARE

CONTRIBUTORS

Sergii
SergiiAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.