WATENDAWILI

Zitunice
PROD. BY Wuod Omollo
WRITTEN BY Edgar Israel Onyach, Ywaya Eugine Simon
[Intro]
Eeeeh, Eeeeh
Eeeeh, Eeeeh
[Verse 1]
Zangu zimeshika zimenyanyanya
Watiaji mniondoke
Ona vile Nime piga pamba
Drip safii niko na ma peng
Madem wana ni rukia
Wanapenda vile nanukia
Wanataka kuni rombosea
Wameanza kuning’ang’ania
Lo, lo, lo, lo ni kumoto kumewaka
Cheki waroro
Madem warembo wenye figure
Yaani vidosho
Sketi fupi kaa maisha
Kwanza akizi tingisha
Naskia fiti ndani ya damu
Ndani ya roho-ho
[Pre-Chorus]
DJ cheza ngoma tena
Tuko na nguvu bado ni mapema
Waiter leta mzinga
Tena sisi ni wakenya naa
Tunapenda Sherehe, tunapenda starehe
Hatuwezi kataa, hatuwezi kataa
Ma sexy ladies wakiwa wengi
Hio ndio inafaa ndani ya bar
[Chorus]
Wacha zitu nice, nice, nice
Zitu nice nice, nice
Wacha zitu nice, nice, nice
Sherehe polite lite, lite, lite, lite
Wacha zitu
[Verse 2]
Wasichana wengi nichague nani
Wolololo, wolololo, wolololo
Mambo ni mengi na masaa machache
Leo wapoa wamefika na wamekuja kuchachisha
Tembeza mali iende chain chain
Tupregame kabla pregame ooh
Kama huna pesa
Mtu wangu saka lugha ya kujitetea
Wallah bin Wallah, vile nawachanganya
Mistari tunavyozitupa leo nikuzoza
Yeeiy yeah yeah yeah
[Pre-Chorus]
DJ cheza ngoma tena
Tuko na nguvu bado ni mapema
Waiter leta mzinga tena
Sisi ni wakenya naa
[Chorus]
Tunapenda sherehe, tunapenda starehe
Hatuwezi kataa, hatuwezi kataa
Ma sexy ladies wakiwa wengi
Hio ndio inafaa ndani ya bar
Wacha zitu nice, nice, nice
Zitu nice, nice, nice
Wacha zitu nice, nice, nice
Sherehe polite lite, lite, lite, lite
Wacha zitu
Sign in and select any words to explain a line.
No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE
CONTRIBUTORS
Discussion
Sign in to join the discussion.