BIEN
Jalada la Mayolo

Mayolo

3 mionekano
Alusa ContinuaAFRO-POPMaasai, Swahili, Sheng2026
PRODUSA GL, Remmy Baggins, Bien and Michael Manitshana
IMEANDIKWA NA Bienaime Alusa, Mary Wanjiku Kimani, Urenmisan Emmanuel Solo Edema, Savara Mudigi, Yohanna Papaa Ngamnoni, Eric Mbithi Muloki, Gustino Luwis
[Verse 1: Femi One & Bien] Bald man ananilke na mi namlike Tunalikiana anasema Femi Ndio size Umenimalo Umejuaje napenda height Kaa haumind kuona show si unroll na Mimi tonight Ey ey ey na Femi huaga umeninice We ni G nyuma unawagon na kiuno tight Nishakutii daily mi hukua nakufantasize Tunda ni ripe, you know that you can get it right Unaeza get it yes, lakini nishow intention Mi ni dem wa mtaa mambo ya town Najua mchezo Naona vile umekuwa ukitamani kitu special Narudia Tena Bien, tell me your intentions Femi I wanna worship at your temple Run my fingers on your body fuck your mental Maneno Haya si mageni hapa jijini labda kwa mgeni jijini unajua ni nini [Chorus: Bien & Femi One] Uno uno unaitaka, na nadai kuichapa Vice versa pia mi naitaka Uno uno unaitaka, na nadai kuichapa Vice versa pia mi naitaka [Refrain: Papaa Maasai] Keme la kenyoraa Keme la kenyoraa Keme la kenyoraa Keme la kenyoraa Mayolo Mayolo Mayolo nanoo Mayolo Mayolo Mayolo nanoo [Verse 2: Bien & Femi One] I’m curious, Kwani okwonko aliichapa I wanna know ka unaeza meza njwang’a Hiyo ni swali gani? Kumbe unaeza geuka fala? Haikuhusu ka mi na ye tulilimana Basi ka mko pamoja staki drama Sifanyangi watu mbaya, I believe in Karma We jitetee uchape usiogope lawama Unaeza Bahatika tuonane Ana kwa Ana Uuh maneno Haya sio mageni hapa jijini Labda kwa mgeni jijini unajua ni nini Kuna kugonga kugongewa kugongeana Kuna kupata kupotea kupoteana [Chorus: Bien & Femi One] Uno uno unaitaka, na nadai kuichapa Vice versa pia mi naitaka Uno uno unaitaka, na nadai kuichapa Vice versa pia mi naitaka [Refrain: Papaa Maasai] Keme la kenyoraa Keme la kenyoraa Keme la kenyoraa Keme la kenyoraa Mayolo Mayolo Mayolo nanoo Mayolo Mayolo Mayolo nanoo

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Onslaught
OnslaughtMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.