H_ART THE BAND
Jalada la Ukimwona

Ukimwona

5 mionekano
Made In The StreetsAFRO-POPSwahili2019
PRODUSA Cedric "Cedo" Kadenyi
IMEANDIKWA NA Kenneth Muya, Mordecai Mwini, Wachira Gatama
[Verse 1] Kusema kweli bado nakuhata, And on the daily bado nakufuata Kosa sio hoja, zaidi ya kukupenda Vipi nikatupa ndoto tulizoziota Uliniwasha nare, enzi zetu za kupare Kwa mvinyo na makali Magizani hadi ngware Nikijifanya dakitare, wa mabinti wale Wenye shepu za hatari, nikapotelea ndani [Chorus] Ila mwambie nampenda, roho yamtamani Bado nampenda, ukimwona Mwambie nampenda, roho yamtamani Bado nampenda, ukimwona Ukimwona [Verse 2] Tabasamu la kishua Roho sawa na maua I can't help miss you every morning Vile unapendeza Kama ningewezajua Yepi ya kutarajia Nisingejipata mashakani kwa niliyoyatenda Ninayempenda ni wewe, Hakuna mwingine wa kubadili penzi Ningependa tuelewane Kiburi kisinikosanishe nawe [Pre-Chorus] Uliniwasha bare, na sikushika nare Ukanisema kwa jirani, kwamba mimi kisirani Aibu za hadharani, vile penzi hatari Njoo unipe amani, kama hapo zamani [Chorus] Mwambie nampenda, roho yamtamani Bado nampenda, ukimwona Mwambie nampenda, roho yamtamani Bado nampenda, ukimwona Ukimwona Mwambie nampenda, roho yamtamani Bado nampenda, ukimwona Mwambie nampenda, roho yamtamani Bado nampenda, ukimwona Mwambie nampenda, roho yamtamani Bado nampenda, ukimwona Mwambie nampenda, roho yamtamani Bado nampenda, ukimwona

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Onslaught
OnslaughtMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.