
Ukimwona
4 views
[Verse 1]
Kusema kweli bado nakuhata,
And on the daily bado nakufuata
Kosa sio hoja, zaidi ya kukupenda
Vipi nikatupa ndoto tulizoziota
Uliniwasha nare, enzi zetu za kupare
Kwa mvinyo na makali
Magizani hadi ngware
Nikijifanya dakitare, wa mabinti wale
Wenye shepu za hatari, nikapotelea ndani
[Chorus]
Ila mwambie nampenda, roho yamtamani
Bado nampenda, ukimwona
Mwambie nampenda, roho yamtamani
Bado nampenda, ukimwona
Ukimwona
[Verse 2]
Tabasamu la kishua
Roho sawa na maua
I can't help miss you every morning
Vile unapendeza
Kama ningewezajua
Yepi ya kutarajia
Nisingejipata mashakani kwa niliyoyatenda
Ninayempenda ni wewe,
Hakuna mwingine wa kubadili penzi
Ningependa tuelewane
Kiburi kisinikosanishe nawe
[Pre-Chorus]
Uliniwasha bare, na sikushika nare
Ukanisema kwa jirani, kwamba mimi kisirani
Aibu za hadharani, vile penzi hatari
Njoo unipe amani, kama hapo zamani
[Chorus]
Mwambie nampenda, roho yamtamani
Bado nampenda, ukimwona
Mwambie nampenda, roho yamtamani
Bado nampenda, ukimwona
Ukimwona
Mwambie nampenda, roho yamtamani
Bado nampenda, ukimwona
Mwambie nampenda, roho yamtamani
Bado nampenda, ukimwona
Mwambie nampenda, roho yamtamani
Bado nampenda, ukimwona
Mwambie nampenda, roho yamtamani
Bado nampenda, ukimwona
Sign in and select any words to explain a line.
No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
Keep reading
SHARE
CONTRIBUTORS
Discussion
Sign in to join the discussion.