KAGWE MUNGAI
Jalada la Ghostika

Ghostika

8 mionekano
KENYAN POPSwahili, Sheng, English
PRODUSA Kagwe Mungai
[Intro] I don't know don't know why you are wasting time (ion why you are wasting time) I don't know don't know why you are wasting [Verse 1] Malkia Malkia Malkia Kukuwa this fine mi nakuwa unfair And you already know Yeah you already know Malkia Malkia Malkia Nimekutuma text mingi kama mia Hivi ndo umenishow Yaani umenighost (ghaii mimi) [Bridge] Mi yule musexy Mi ni yule mudeadly Mi hupenda kuwa na pedi Wamama na walevi Mi yule musexy Hauwezi niseti Eeii na ka unajitii Ka ukona main character energy [Chorus] Ukighostiwa ghostika (wewee sawaa) Tough time never last only tough people Eee na ukiblockiwa blockika (wewee) You are a ten out of ten time yako inafika Ghostika I don't know don't know why you are wasting time (ion why you are wasting time) I don't know don't know why you are wasting Ghostika [Verse 2] Bro shika story Kumbuka yule dem nilimknocki Eei uh-uh sio Njoki Yule tulipatanga Toi Eeenhe huyo shawry So jana nilipatana na mbogi Tukalink na mayengs Mi nikaingia dance nikampata na Pascal Tokodi Ooh ngoja mengine Tulia kwanza nikuambie Masaa nilicatch time alitoa clutch ati anashika simu za Otile Huyu dem atanirarua Kila siku naskia rumour rumour Hata hajui jina yangu buda Anashinda akiniita Nick Mutuma [Chorus] Ukighostiwa ghostika (wewee sawaa) Tough time never last only tough people Eeh na ukiblockiwa blockika (wewee) You are a ten out of ten time yako inafika [Chorus] Ukighostiwa ghostika (wewee sawaa) Tough time never last only tough people Eeh na ukiblockiwa blockika (wewee) You are a ten out of ten time yako inafika Ghostika [Outro] Go go go go go go ghostika Go go go go go go ghostika Go go go go go go ghostika Go go go go go go ghostika

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Onslaught
OnslaughtMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.