
Single
11 mionekano
(Fyat)
Ina record kweli?
[Verse 1]
Unanilola nakulola
Kama unanidai si tuende hivi
Mi kijana vako mingi mingi
Mi ni mjanja ukitaka tuieke siri
Abracadabra orwaro iende missing
Ntakiseti sikujudge
Nyash ni ya Nicki Minaj
Already mi ni fan
Nakusuka kigwash
Waiter ongeza jug leo nashuka na madam
Wengine juu ya senke wanakam
Watatupata kwa club
Leo ni jaba polite
Look polite
Nachafua wines, kata tenje tuko site
Niko na pesa na kiburi ya kuonyesha
Bar 4 nimeteseka
Sai ni kuwatesa
[Chorus]
I'm singe depending nani anauliza
Jiachilie, itisha ni sponyo atalipa
Ni vodo ama ni keg
Tukitoka hapa nipee
Vodo ama ni keg
Kenye unataka wakupee
Says she's single depending nani anauliza
Jiachilie, itisha ni sponyo atalipa
Ni vodo ama ni keg
Tukitoka hapa nipee
Vodo ama ni keg
Kenye unataka wakupee
[Verse 2]
Kitu inaniambia nimefika miaka ya ku-marry
Ingine inaniuliza why the hurry
Sijengi so jaba haina mabati
Leo nahofia sitajua venye nitafika kejani
After shots mbili nishaanza u-lovey dovey
Namdai mmh, na ako chwani chwani
Namark territory akikuachia suruali
Nikipigiwa nadai kujua huyo ni nani
Topa na machupa nawakunywa
Ukitaka ni chupa utakunywa
Hanikatazi kuguza
Tu-misbehave kesho tujifanye hakuna mtu anakumbuka
[Chorus]
I'm singe depending nani anauliza
Jiachilie, itisha ni sponyo atalipa
Ni vodo ama ni keg
Kenye unataka wakupee
Vodo ama ni keg
Tukitoka hapa nipee
I'm single depending nani anauliza
Jiachilie, itisha ni sponyo atalipa
Ni vodo ama ni keg
Tukitoka hapa nipee
Vodo ama ni keg
Kenye unataka wakupee
Leo ni jaba polite
Look polite
Nachafua wines, kata tenje tuko site
Niko na pesa na kiburi ya kuonyesha
Bar 4 nimeteseka
Sai ni kuwatesa
I'm singe depending nani anauliza
Jiachilie, itisha ni sponyo atalipa
Ni vodo ama ni keg
Tukitoka hapa nipee
Vodo ama ni keg
Kenye unataka wakupee
[Outro]
Says she's single depending nani anauliza
Jiachilie, itisha ni sponyo atalipa
Ni vodo ama ni keg
Tukitoka hapa nipee
Vodo ama ni keg
Kenye unataka wakupee
Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.
Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.
Endelea kusoma
SHIRIKI
WACHANGIAJI
Mjadala
Ingia to join the discussion.