NJERAE
Jalada la Baki Pekee Yako

Baki Pekee Yako

akiwa na Watendawili
9 mionekano
2024
PRODUSA Kobby Worldwide
IMEANDIKWA NA Njeri Mwengi, Eugene Ywaya, Israel Onyach
[Verse 1: Njerae] Nakumbuka ulivyosema Ati tena, wanipenda Nikiwaza pia ulivyonitenda Hapo mapema, kunitenda, ah Na nyumbani nishaenda, mara kadhaa Wengi nishapenda Nani afaaye penzi langu la ukweli Nishapatana na lines zako deadly Ah, so, don’t take it personally I don’t think you should be with anybody Naona tu ni afadhali, ubaki pekee yako Sooo… [Chorus: Njerae] Baki pekee yako Umevunja wengi baki pekee yako Baki pekee yako Umevunja wengi baki pekee yako Baki pekee yako Umevunja wengi baki pekee yako Baki pekee yako Umevunja wengi baki pekee yako [Verse 2: Onyach Pala] Hizi vitu ziufanyika, ni pilka pilka Madem jo ni wengi but ni we ndio ninaita Hao wengine nilicheza nao Lakini penzi yenye mimi sitawai sahau Ni ile penzi we ulinipa mpaka saii niko Ngai fafa sitawai pata penzi kama lako Ni ukweli mi ndio nilitupa rada kucheza nje na kuhanya Nimebaki na mawazo [Chorus: Njerae] Baki pekee yako Umevunja wengi baki pekee yako Baki pekee yako Umevunja wengi baki pekee yako Baki pekee yako Umevunja wengi baki pekee yako Baki pekee yako Umevunja wengi baki pekee yako [Verse 3: Ywaya Tajiri] Uko wapi sasa? Bila wewe siko sawa nimekosa raha Na najua mabeshte wako wananisemanga Mara waliniona huku, mara waliniona kule Wananiekeleanga bure uuuwi Kile kimomacho, kile kimomacho mama (nisamehe) Kile kimomacho, kile kimomacho mama (désolé) Kile kimomacho, kile kimomacho mama (nisamehe) Kile kimomacho, kile kimomacho mama (désolé) Penzi désolé [Chorus: Njerae] Baki pekee yako Umevunja wengi baki pekee yako Baki pekee yako Umevunja wengi baki pekee yako Baki pekee yako Umevunja wengi baki pekee yako Baki pekee yako Umevunja wengi baki pekee yako [Outro] Kile kimomacho, kile kimomacho mama Kile kimomacho, kile kimomacho mama Kile kimomacho, kile kimomacho mama Kile kimomacho, kile kimomacho mama Kile kimomacho (nisamehe, désolé) Kile kimomacho (désolé) désolé

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Onslaught
OnslaughtMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.