TOXIC LYRIKALI
Jalada la Hood

Hood

10 mionekano
RoteenKENYAN HIPHOPSheng, Swahili2025
PRODUSA Vlmightysos
[Intro] Man a T.O.X Mboka doba Skiza [Chorus] Nikitembea kwa Hood Niko na something to offer na nothing to loose Very rude mi sidai kuwa good Kwa hood the good ndio ugeuzangwa food Tension ju ya maboys in blue unaeza dakwa bure bure Na bado uzame tu Valia hood Washindwe kukuzoom kwa hood ndani ya hood nikitembea kwa Hood Nikitembea kwa [Verse 1] Approach kwa umbali utadhani niko cool Karibia karibia niku prove we ni fool Si lazima attitude ndio nikue understood Magazine hairudingi home full Kwa hizi chuom wanabuya Ndani ya kifua mbling zao azioni jua Dead boys we affi dead ju ya duya Nikinukisha after nimezidi ndio utanusa Ka lorry ya taka taka kwa highway Sijali wengine on my own lane Alitii after kupatiwa long cane Ananiita T ju Lyrikali ni long name Mostly miumuona na nguo za birthday Nimezungukwa na magoshodo ka bonfire Ni kitambo uskii mi nilisha expire Nimejiaminia one man empire Sina rada ya mbele guide me Messiah [Chorus] Nikitembea kwa Hood Niko na something to offer na nothing to loose Very rude mi sidai kuwa good Kwa hood the good ndio ugeuzangwa food Tension ju ya maboys in blue unaeza dakwa bure bure Na bado uzame tu Valia hood Washindwe kukuzoom kwa hood ndani ya hood nikitembea kwa Hood Nikitembea kwa [Verse 2] Na wa assume wakingoja ni wa amuse Ngware boys akirau alarm we unasnooze Kwa miguu na ground nimeshikilia ka root Tulikosana sai wanadai truce mapuss Wanaogopa polisi Na mraia inaogopa sisi Watuamini na sio wao pia sisi kwa sisi Adi pretty mi sionyeshi pity Na move ka kipindi Father God lakini usiniache guide me Niko kwa giza adjust lighting Maganji nika na fanya drug deals Wanyongwe wakidai kunikulia ma hungry Father God lakini usiniache guide me Niko kwa giza adjust lighting Maganji nika na fanya drug deals Wanyongwe wakidai kunikulia ma hungry [Chorus] Nikitembea kwa Hood Niko na something to offer na nothing to loose Very rude mi sidai kuwa good Kwa hood the good ndio ugeuzangwa food Tension ju ya maboys in blue unaeza dakwa bure bure Na bado uzame tu Valia hood Washindwe kukuzoom kwa hood ndani ya hood nikitembea kwa Hood Nikitembea kwa

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Onslaught
OnslaughtMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.