TOXIC LYRIKALI
Jalada la Stone

Stone

akiwa na Countree Hype
33 mionekano
KENYAN HIPHOPSheng, Swahili2026
PRODUSA Countree Hype
IMEANDIKWA NA Denzel Washington
[Intro] Mana, mana, mana Mana, mana, Man a T Huh, mboka doba (Countree hype music) [Chorus] Napatanga punchline nikistone Ni ka ni budding, nishakisanif, nishakingati Siko safari but natrip na kibarbie Niko majani, alo alo Punchline nikistone Ni ka ni budding, nishakisanif, nishakingati Siko safari but natrip na kibarbie Niko majani, aloo [Verse 1] Dawa ya moto ni moto, akinikulia moto namchoma Namtandaza namwacha kwa bedi dormant First priority itabaki kuwa dollar FYI siezi kaa na informer Sijang’ara za loan, wanang’am hii doh Najitaftia solo, mi ni loner But niko na mbogi itakusundua ukiningora Fully active kuna malines nachora Underground na mahasira anaroga so anakaa mudfish Diss, zote qualified as disgusting Tukitoka bumbrush ni after party Tukibumburua ilikuwa ni practice Dem ndeng’a mamunju akitaka chuma plus stick Darkskin lakini figure imetoka Spanish 9 2 5 shingoni mboka tulihepa matrix Vile anasambaza ni ka ameivia matricks, mmh [Verse 2] Niliosha mwere soo nikageuka opp Theres a lot in my parking lot Nimefanya a lot Lakini siezi thubutu kurudi nyuma naogopa kugeuka salt Naeza kuzamisha chunga nimejaa float Kaa sina doh siezi maintain indoors Ukinimblein nafunga mambo yako haijalishi ka tulikuwa close Hii ni real life ni charjie si soap Unanifuata kama bee nilimshow nitamshikia mzinga Reverse psychology na minya haezi ninyima Collabo unaeza wai ni venye nimejificha Lyrically ill bila tiba Ukiona GLE East hutaniona lakini mi ndio owner Rusha mawe baadaye ukiwa umemeza baking soda Ni ka ni laana 4 mbao nawai focus Venye naball saii ghetto wananiita baller, donga Machaji bado wananiita mkora Mkia kwa pori ya nyuma ndio nieke mbele mola Nimejaza ma ex nime-explore kama Dora I told her so nguna usiniletee za utoddler [Chorus] Punchline nikistone Ni ka ni budding, nishakisanif, nishakingati Siko safari but natrip na kibarbie Niko majani, alo alo Punchline nikistone Ni ka ni budding, nishakisanif, nishakingati Siko safari but natrip na kibarbie Niko majani, aloo

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Onslaught
OnslaughtMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.