WATENDAWILI
Jalada la Ayaya

Ayaya

akiwa na Femi One
4 mionekano
En RouteAFRO-POPSwahili, Sheng2024
PRODUSA Shifa Beatz
IMEANDIKWA NA Ywaya Eugine Simon, Edgar Israel Onyach, Wanjiku Kimani
[Verse 1: Ywaya Tajiri] Leo ni ka leo ni ka Zitatushika hadi tushindwe kuenda home Shots zingine zinakam Katululu ndo nimebeba sitaki poteza phone Na fom imejipa Tei ndani ya liver na madem wameiva no lie Cannabis sativa Tunaziwakisha zinataka kutushika all night [Bridge] We just getting started Why you leaving in a hurry Baby njoo kuja usiende mbali I know you wanna stay so let me know When you wine and drop Body like photo shop You go make man drop When you whine like that Make that thing go back You go make man drop [Hook] Ayayayayaya ayayayayaya Umekuja na ubaya ayayayayaya Ayayayayaya ayayayayaya Umewakisha fire ayayayayaya [Verse 2: Femi One] Femi Uno Najikuta vela na velo napewa lyft na donga Ni roho yangu ama ni beat inagonga Mchana fupi usiku ni much longer Vile utarusha lugha tutajua ka unaeza gonga Rizz fiti I’m tipsy ni risky Waba haina enemy napenda whisky Gun salute mzinga inasimama tisti Usipige shot ka hatujatoast man don't piss me Pombe kali haijalishi kama pesa ni tam Leo nataka nilewe nipoteze nidham Nipoteze faham ya jana drama filam Vile nilipanda man nikashuka na madam Pombe kali haijalishi kama pesa ni tam Leo nataka nilewe nipoteze nidham Nipoteze faham ya jana drama filam Vile nilipanda man nikashuka na madam [Hook] Ayayayayaya ayayayayaya Umekuja na ubaya ayayayayaya Ayayayayaya ayayayayaya Umewakisha fire ayayayayaya [Verse 3: Onyach Pala] Wavy wavy wavy watu wamezima Simu yangu pia imezima Bana leo ni kuririma mpaka zetu ziraruke Ni kuharibu hadi shokde oyoyoyo Peng ting amenishika Ameamsha mzee mzima Lakini shida sikumbuki jina yake Lakini bado joh katambe Katambe katambe eeeh [Bridge] We just getting started Why you leaving in a hurry Baby njoo kuja usiende mbali I know you wanna stay so let me know When you wine and catch Body like photo shop You go make man drop When you whine like that Make that thing go back You go make man drop [Hook] Ayayayayaya ayayayayaya Umekuja na ubaya ayayayayaya Ayayayayaya ayayayayaya Umewakisha fire ayayayayaya

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Sergii
SergiiMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.