WATENDAWILI
[Verse 1: Ywaya Tajiri]
Leo ni ka leo ni ka
Zitatushika hadi tushindwe kuenda home
Shots zingine zinakam
Katululu ndo nimebeba sitaki poteza phone
Na fom imejipa
Tei ndani ya liver na madem wameiva no lie
Cannabis sativa
Tunaziwakisha zinataka kutushika all night
[Bridge]
We just getting started
Why you leaving in a hurry
Baby njoo kuja usiende mbali
I know you wanna stay so let me know
When you wine and drop
Body like photo shop
You go make man drop
When you whine like that
Make that thing go back
You go make man drop
[Hook]
Ayayayayaya ayayayayaya
Umekuja na ubaya ayayayayaya
Ayayayayaya ayayayayaya
Umewakisha fire ayayayayaya
[Verse 2: Femi One]
Femi Uno
Najikuta vela na velo napewa lyft na donga
Ni roho yangu ama ni beat inagonga
Mchana fupi usiku ni much longer
Vile utarusha lugha tutajua ka unaeza gonga
Rizz fiti I’m tipsy ni risky
Waba haina enemy napenda whisky
Gun salute mzinga inasimama tisti
Usipige shot ka hatujatoast man don't piss me
Pombe kali haijalishi kama pesa ni tam
Leo nataka nilewe nipoteze nidham
Nipoteze faham ya jana drama filam
Vile nilipanda man nikashuka na madam
Pombe kali haijalishi kama pesa ni tam
Leo nataka nilewe nipoteze nidham
Nipoteze faham ya jana drama filam
Vile nilipanda man nikashuka na madam
[Hook]
Ayayayayaya ayayayayaya
Umekuja na ubaya ayayayayaya
Ayayayayaya ayayayayaya
Umewakisha fire ayayayayaya
[Verse 3: Onyach Pala]
Wavy wavy wavy watu wamezima
Simu yangu pia imezima
Bana leo ni kuririma mpaka zetu ziraruke
Ni kuharibu hadi shokde oyoyoyo
Peng ting amenishika
Ameamsha mzee mzima
Lakini shida sikumbuki jina yake
Lakini bado joh katambe
Katambe katambe eeeh
[Bridge]
We just getting started
Why you leaving in a hurry
Baby njoo kuja usiende mbali
I know you wanna stay so let me know
When you wine and catch
Body like photo shop
You go make man drop
When you whine like that
Make that thing go back
You go make man drop
[Hook]
Ayayayayaya ayayayayaya
Umekuja na ubaya ayayayayaya
Ayayayayaya ayayayayaya
Umewakisha fire ayayayayaya
Sign in and select any words to explain a line.
No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE
CONTRIBUTORS
Discussion
Sign in to join the discussion.