WATENDAWILI
Jalada la Ex Wangu

Ex Wangu

3 mionekano
HekayaAFRO-SOULSwahili2026
PRODUSA Run
IMEANDIKWA NA Eugine Simon Ywaya, Edgar Israel Onyach
(Run) [Verse 1] Jua linatua siku yangu siwezi maliza Kabla sijakuona Mama Hayawi hayawi huwa Mpenzi wa kishua siko sure Kama waja je waja je waja Oh baby bisous bisous Natuma mabusu Penzi langu usiwahi kuishuku Salaam aleikum naskia fununu Bado wanipenda Pia mi nakupenda [Chorus] Ni heri shetani unayemjua Kuliko malaika usiyemjua Narudia ex wangu Ni heri shetani unayemjua Kuliko malaika usiyemjua Narudia ex wangu [Verse 2] Streets ni chafu kutongoza pia ni kazi Heri nimrudie anayenijua kindani Pia mi namjua zaidi ya kumfahamu Chanda ye pete me nimemjua tangu Penzi wangu natuma salamu Nakuandikia barua wino nimetumia damu I wish ungeza ona kwa macho zangu Na uhisi hisia zangu I hope unafahamu Hii ni real love baby pokea salamu Ningesema mengi ila wino Imenishia kalamu damn [Chorus] Ni heri shetani unayemjua Kuliko malaika usiyemjua Narudia ex wangu Ni heri shetani unayemjua Kuliko malaika usiyemjua Narudia ex wangu [Outro] Mniache nirudi anasema Baridi ya muua Namrudishia sweater niliochukua Mniache miee Sikai hapo ila akisema baki nitabaki Mimi ni wake Ijulikani, nataka sitaki Nataka sitaki

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Onslaught
OnslaughtMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.