
Naogelea
15 mionekano
[Verse 1]
Nakubali yote mashtaka
Penzi lako siwezi kuficha
Mrembo wangu kweli unang'aa
Ona hadi jua haiwezi kupinga
Macho gololi ameniteka moyoni
Bei ya jioni umenitoa sokoni
Wanashangaa mbona hawanioni
Nimepotelea mtoni
Wanashangaa mbona hawanioni
Nimepotelea mtoni na mpenzi wangu
[Chorus]
Aah naogelea naogelea ndani
Aah naogelea penzi letu ndio bahari
Aah naogelea naogelea ndani
Aah naogelea penzi letu ni bahari
[Verse 2]
Akicheka nacheka pia
Akilia nalia
Si ni ka si ni ka mapacha
Amenipata nimempata
Twazidi kula bata
Huku kwetu kuna furaha
Tunazidi kupendana
Leo zaidi ya jana
Ona tushangoa nanga
[Chorus]
Aah naogelea naogelea ndani
Aah naogelea penzi letu ndio bahari
Aah naogelea naogelea ndani
Aah naogelea penzi letu ni bahari
[Outro]
Naskia poa nazidi skia poa
Naskia poa na bado hatuja oana
Naskia poa nazidi skia poa
Naskia poa na bado hatuja oana
Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.
Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.
Endelea kusoma
SHIRIKI
WACHANGIAJI
Mjadala
Ingia to join the discussion.