YWAYA TAJIRI
Jalada la Mazuri Mabaya

Mazuri Mabaya

16 mionekano
AFRO-SOULSwahili2021
PRODUSA Ethan Muziki
IMEANDIKWA NA Ywaya Eugine Simon, Edward's Ethan Okoth
[Verse 1] Nitajaribu kile mi naweza Ndio nikuone ukitabasamu Niko na wivu kwa wale wenye pesa Maisha yao lazima iwe tamu Na aki sisi tunanyeshewa na inansumbua Spendi kuona ukitembea kwa baridi na mvua Ndo maana najaribu kile mi naweza oh oh Hizi mashida si tuzisahau [Pre-Chorus] Ni juu vile nilikupenda Hapo mwanzoni, mpaka saizi Ni zaidi Mashida Ni kawaida, haziezituzika Hazitatushindaa [Chorus] Ndio maana mpenzi sibagui Nitakupenda kwa mabaya na kwa mazuri Ukweli mpenzi sibagui Nitakupenda kwa mabaya na kwa mazuri [Verse 2] Na ni kujitambua ndo ilifanya nkakuchagua Na niko sure shida zikija ntazitatua Mama woyo woyo Ukitaka maziwa ama halua ntazinunua Nakuletea ka sina fare nitatembea mama (Ooh nana) Kila kitu ndo upate, ata kama ni machache Ni lazima nijikaze Nasema tena Kila kitu ndo upate, hata kama ni machache Ni lazima nijikaze eeh [Pre Chorus] Juu vile nilikupenda Hapo mwanzoni, mpaka saizi Ni zaidi Mashida Ni kawaida, haziezituzika Hazitatushindaa [Chorus] Ndio maana mpenzi sibagui Nitakupenda kwa mabaya na kwa mazuri Ukweli mpenzi sibagui Nitakupenda kwa mabaya na mazuri Nasema mpenzi sibagui Nitakupenda kwa mabaya na kwa mazuri Mpenzi sichagui Nitakupenda kwa mabaya na kwa mazuri Nitajaribu kile mi naweza Ndo nikuone ukitabasamu

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Onslaught
OnslaughtMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.