
Mazuri Mabaya
16 views
[Verse 1]
Nitajaribu kile mi naweza
Ndio nikuone ukitabasamu
Niko na wivu kwa wale wenye pesa
Maisha yao lazima iwe tamu
Na aki sisi tunanyeshewa na inansumbua
Spendi kuona ukitembea kwa baridi na mvua
Ndo maana najaribu kile mi naweza oh oh
Hizi mashida si tuzisahau
[Pre-Chorus]
Ni juu vile nilikupenda
Hapo mwanzoni, mpaka saizi
Ni zaidi
Mashida
Ni kawaida, haziezituzika
Hazitatushindaa
[Chorus]
Ndio maana mpenzi sibagui
Nitakupenda kwa mabaya na kwa mazuri
Ukweli mpenzi sibagui
Nitakupenda kwa mabaya na kwa mazuri
[Verse 2]
Na ni kujitambua ndo ilifanya nkakuchagua
Na niko sure shida zikija ntazitatua
Mama woyo woyo
Ukitaka maziwa ama halua ntazinunua
Nakuletea ka sina fare nitatembea mama (Ooh nana)
Kila kitu ndo upate, ata kama ni machache
Ni lazima nijikaze
Nasema tena
Kila kitu ndo upate, hata kama ni machache
Ni lazima nijikaze eeh
[Pre Chorus]
Juu vile nilikupenda
Hapo mwanzoni, mpaka saizi
Ni zaidi
Mashida
Ni kawaida, haziezituzika
Hazitatushindaa
[Chorus]
Ndio maana mpenzi sibagui
Nitakupenda kwa mabaya na kwa mazuri
Ukweli mpenzi sibagui
Nitakupenda kwa mabaya na mazuri
Nasema mpenzi sibagui
Nitakupenda kwa mabaya na kwa mazuri
Mpenzi sichagui
Nitakupenda kwa mabaya na kwa mazuri
Nitajaribu kile mi naweza
Ndo nikuone ukitabasamu
Sign in and select any words to explain a line.
No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
Keep reading
SHARE
CONTRIBUTORS
Discussion
Sign in to join the discussion.